Hivi ndivyo ninavyo ingiza kipato cha 30,000 kwa siku baada ya kubadili fikra zangu

Kwa Mimi ambae sina mwenyeji dar naweza kujoin vipi ili tufanye pamoja?
 
Naomba namba yako nikutafute boss na mm nitoke mkoani nije Dar maana maisha magumu.
 
Tuwasiliane
 
Mie naomba formula ya kutengeneza hayo madawa ndugu mkemia.
Weye chizi nini? Hiyo siri ya kazi unataka kumuibia ,unaonekana uko cheap sana wacha ushamba huo ,huyu anatafuta sponser mushirikiane kama uko intrest muone mukubaliane mutengeneze ww unataka formula daa dekii.
 
Mkuu nipo dar kama hutojari waweza nishilikisha nami angalau nipate pakuanzia natanguliza shukrani
 
Duh toka nijiunge jf nadhani ndio uzi wa kwanza wa fursa kwamimi ambao hauna makando kando.

Nyuzi nyingi zipo ila nyingi wewe uliyeletewa fursa ndio uwe fursa kwa mleta Uzi

Hongera mkuu, ubarikiwe
Do you think so? Think twice! Hivi dunia ya leo kuna mtu anayeanika ''ulaji'' wake hadharani? I mean kama ungekuwa unafanya huduma kama hii ungeanika hapa ili ''kila mtu'' ajue formula yako ya mafanikio hasa ikizingatiwa kuwa ikujulikana itatumiwa na wengine? I say again: think twice!
 
Nimesubiri simu yako mkuu najua umetingwa na majukumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…