Hivi ndivyo ninavyo ingiza kipato cha 30,000 kwa siku baada ya kubadili fikra zangu

Big up sanaaa broooh na mungu akuzidishie baraka tele na soko lako likuwee hata kimataifaaaπŸ‘πŸΏπŸ‘




#timuhainakufelii.
Amina nashukuru sana mkuu πŸ™πŸ™ ubarikiwe
 
mimi nahtaj kufanya hyo kazi..naomba maelekezo tafadhal
 
Ukiwa na akili mjini hela ni za kufikia tu, vijana wengi wamejaa ubishoo tu,hasa wanaojiita wasomi ni very selective kwenye maswala ya utafitaji, wanaishia kuwa wapiga mizinga ,mashoga ,na kutafuta majimama ya kuwatunza ,
Hongera sana kijana kwa kuthubutu
 
Nashukuru mkuu πŸ™πŸ™πŸ™
 
Duh toka nijiunge jf nadhani ndio uzi wa kwanza wa fursa kwamimi ambao hauna makando kando.

Nyuzi nyingi zipo ila nyingi wewe uliyeletewa fursa ndio uwe fursa kwa mleta Uzi

Hongera mkuu, ubarikiwe
Tangazo hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…