Interested Observer
Platinum Member
- Mar 27, 2006
- 4,999
- 7,928
Ukimwangalia huyu mwanamke unajua kabisa sisi waTanzania tuna matatizo makubwa, kwanza hatuthamini maisha yetu, tunaishi tu. Huyu mama CV yake tu, na kwa vipi katoboa kuwa Makamu wa Rais, she failed in school, ammried at 17 yrs of age, as a third wife, to form a polygamous concubine. Leo anakua Rais wetu. Akina Mama Ntilie wangapi bora kuliko huyu?
View: https://youtu.be/hSOcdGnoGbA?si=xmD1lymIVF7bNlFU
“The first ever president to elect herself”
Sasa hivi sisi wala siyo banana republic tena!
Banana republics huwa walau zina matumaini flani flani endapo elements flani flani zitaondolewa.
Sisi tupo tupo tu. Si nchi wala taifa.
Mnaishi zama za mawe za kale mambo yamefanyika live kila mtu ameona Migiro ndo asafishe aya huwezi kundanganya technologia kwa sasa ni kubadilisha mbinu hizi mbinu zinazotomika ni miaka ya nyuma mnoKazi ya Balosi Dk Asha Rose Mtengeti Migiro ni ku rebrand negative imperial image ya Dada yake kimataifa.
Je pulling na speed hiyo anayo . Mi naona anayo na ni soft spoken tone. Masuala ya ufisadi ataweza kuyajibu
Sio haimfai tu..HAWEZI!Ah wapi!
Huyo hiyo kazi wala haimfai.
"The first ever president to elect herself" aha ha 🤣 😆 😂
View: https://youtu.be/hSOcdGnoGbA?si=xmD1lymIVF7bNlFU
“The first ever president to elect herself”
Sasa hivi sisi wala siyo banana republic tena!
Banana republics huwa walau zina matumaini flani flani endapo elements flani flani zitaondolewa.
Sisi tupo tupo tu. Si nchi wala taifa.
Samia The Killer ameamua kubaki madarakani kwa gharama yoyote ile. Alilamba asali akaamua kuchonga mzinga!
View: https://youtu.be/hSOcdGnoGbA?si=xmD1lymIVF7bNlFU
“The first ever president to elect herself”
Sasa hivi sisi wala siyo banana republic tena!
Banana republics huwa walau zina matumaini flani flani endapo elements flani flani zitaondolewa.
Sisi tupo tupo tu. Si nchi wala taifa.
Tabia yake ilijionesha mapema tangu akiwa mwenyekiti mwenza/msaidizi, bunge la katiba. Sikumbuki kama wakati mzee Warioba akishambuliwa na kudhalilishwa na Bashite na wahuni wenzake ndiye aliyekuwa anaongoza kikao au ni Sitta. Ila kwa nafasi aliyokuwa nayo ungetarajia walau akemee, hakufanya hivyo.Kwani yeye hana akili zake binafsi? Hana busara zake mpaka apotezwe na washauri?
Kwa nini mnapenda kuwaondolea uwajibikaji hao viongozi?