Hivi Ndivyo Samia amefungua Uchumi. Mapato ya Jiji la Arusha Yapaa Mara Mbili kutoka Bilioni 30 Hadi Bilioni 60. Ni zaidi ya asilimia πŸ’―

Nitajie vyanzo vitano vya mapato kwa halmashauri ya jiji la Arusha nikuelekeze.
 
Tusubiri uone ile misukule ya mbowe itakavyotoa mapovu
 
Nitajie vyanzo vitano vya mapato kwa halmashauri ya jiji la Arusha nikuelekeze.
Sio unielekeze yaani najua sijitali kuelekezwa.

Mfano service levy ya petrol station inaongeza vipi Mapato ya Jiji bila kuongezeka Kwa Vituo vya Mafuta?

Pili,ushuru wa taka au property tax inahusianaje na bei vitu kupanda?
 
Sio unielekeze yaani najua sijitali kuelekezwa.

Mfano service levy ya petrol station inaongeza vipi Mapato ya Jiji bila kuongezeka Kwa Vituo vya Mafuta?
Service levy kwenye halmashauri inakokotolewaje au inalipwaje?
 
Service levy kwenye halmashauri inakokotolewaje au inalipwaje?
Nafahamu zaidi Kwa miradi ya wakandarasi ambayo ni 1% ya thamani ya mradi na sio uniform,Kila Halmashauri Ina utaratibu wake.

Sasa mkandarasi ana mradi wa mil.200 ,yeye kupanda Kwa dola sijui Shilingi kunahusikaje na kulipa hiyo service levy ya 1-3% Halmashauri?
 
Hali ya maisha ya wananchi was Arusha inasadifu hayo mapesa yaliyopatikana!!?

Muwe mnaacha ujinga !!!

Uchumi ukikua na maisha ya watu was eneo husika hukua Sasa kama Hali ya mfumuko was bei IPO juu halafu unasema uchumi umekua na Raia wanalia na ugumu wa maisha utakua ni ujinga was mwandishi!
 
Kwanza service levy hazilipwi na miradi tu, biashara karibia zote katika Halmashauri ambazo ni VAT registered wanalipa service levy halafu kama umeshakubali gharama za miradi zimeongeka kutokana na kupanda kwa dola unashangaa nini service levy kuongezeka kwenye miradi ya sasa tofauti na miaka ya nyuma?!
Itoshe kusema una kichwa kigumu sana kuelewa.
 
Parameters za Serikali ni makusanyo kutoka kwenye shughuli za Wananchi.Suala.la maisha Yako ni wewe kuchangamkia fursa Ili ujiletee ustawi.

Serikali itatimiza wajibu wake wa Kuimarisha Huduma za kiuchumi na kijamii sio kukugawia pesa wewe.

Mwisho povu la nini Sasa? Ndio ukweli huo Samia amefungua Nchi ndio maana Arusha imetapika.
 
Kwa hiyo mfano nondo ambayo ilikuwa inauzwa 20,000 Sasa ni 23,000 ndio iongeze makunyanyo.kwa 100%? Acha ujinga basi broo.

By whatever business , gharama hazijapanda by 100% .Na Je zilizoshuka mbona huzizungumzii?

Wewe toa ego na wivu hapa,kama kuongeza gharama kunaongeza Mapato kumbe ni jambo zuri maana unapata mapesa ya kumwaga mamiradi kila Kona ya kuongeza ustawi wa jamii.
 
Parameters za Serikali ni makusanyo kutoka kwenye shughuli za Wananchi.Suala.la maisha Yako ni wewe kuchangamkia fursa Ili ujiletee ustawi.
Parameters wanazojali wanachi wa kawaida ni idadi ya ajira mpya nzuri, mfumuko wa bei na kidogo thamani ya shillingi kwa wanofanya biashara za nje.
Hakuna mwananchi wa kawaida anajali serikali imekusanya shillingi.
 
Sasa kwani vyote hivyo havipo? Serikali inapata wapi Kodi kama hakuna employment of resources ikiwemo human capital?
 
Pigeni pambio zote lakini hukumu yetu kwa ccm iko palepale 2025. Maadui wakubwa wa watanganyika ni ccm,ujinga,maradhi na umasikini.
Maendeleo hayasimuliwi ila tunatakiwa tuone maisha yanakuwa bora.
 
Samahani mkuu, kulipa service levy halmashauri ni mpaka uwe VAT Trader au kila mfanyabiashara analipa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…