Hivi ndivyo Single Mother wanavyowatetea Baby Daddy zao wakiwa kwenye penzi Jipya

Hivi ndivyo Single Mother wanavyowatetea Baby Daddy zao wakiwa kwenye penzi Jipya

Hyrax

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2023
Posts
1,458
Reaction score
4,409
Kama una akili nyepesi unaweza usielewe yaani ni kama anamkandia na hataki kumsikia lakini ukienda ndani zaidi unagundua anamkingia kifua asiguswe kuna mipaka anataka akuwekee ili usiwe unahoji mambo yanayoweza kufukua makaburi na maiti zilozolala. Am done with Single Mothers
 

Attachments

  • Screenshot_20250725_212937_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20250725_212937_WhatsApp.jpg
    246.4 KB · Views: 45
Hiyo txt kaiandika kwa muda wa dk 5.

Ina maana kaandika na kufuta sana mpaka kafikia hapo.
 
singo maza yeyote anichek DM nimtoe upweke im serious i need to date single mama niko dar
 
Back
Top Bottom