Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikiri imekuwa tu?Wine is accompanied with meal in France, wine is very cheap, na haikua issue ya soko wala nini, walipractice tu. Mpaka leo, it’s mandatory kunywa hata robo wine kwenye mlo wako pale france. Nyama choma nini na kadharika. Ulikua utamaduni . Kma walilenga soko sawa wameweza
Unajua kusoma?Unafikiri imekuwa tu?
Mkuu samahani-soma sentensi yako ya kwanza. Human beings do not just do things for the sake of doing them; they have motives and expectations. Sentensi yako ya pili inatoa mwanga kidogo kuwa unauelewa wa soko linavyotengenezwa. I just responded with a question.Unajua kusoma?
Bila kusahau Kilimanjaro, watoto wanaanzishiwa dozi ya pombe mapema!Hapa Iringa wanapewa bamboo juice glass Moja kila siku😂
Nauliza tena unajua kusoma?Mkuu samahani-soma sentensi yako ya kwanza. Human beings do not just do things for the sake of doing them; they have motives and expectations. Sentensi yako ya pili inatoa mwanga kidogo kuwa unauelewa wa soko linavyotengenezwa. I just responded with a question.
Kimsingi soko ni uwezo wa kuzalisha bidhaa na kutengeneza wahitaji wenye uwezo wa kununua na kutumia na inapendeza mhitaji wa kwanza ukiwa wewe mwenyewe.
Haws wemzetu wana akili sana , unazalisha kwa wingi, unatumia soko lako la ndani ,
Kunywa Kaulanzi beh!Hapa Iringa wanapewa bamboo juice glass Moja kila siku[emoji23]