Hivi ndivyo soko la ndani linavyotengenezwa na kukuzwa

Wine is accompanied with meal in France, wine is very cheap, na haikua issue ya soko wala nini, walipractice tu. Mpaka leo, it’s mandatory kunywa hata robo wine kwenye mlo wako pale france. Nyama choma nini na kadharika. Ulikua utamaduni . Kma walilenga soko sawa wameweza
 
Unafikiri imekuwa tu?
 
Unajua kusoma?
Mkuu samahani-soma sentensi yako ya kwanza. Human beings do not just do things for the sake of doing them; they have motives and expectations. Sentensi yako ya pili inatoa mwanga kidogo kuwa unauelewa wa soko linavyotengenezwa. I just responded with a question.
Kimsingi soko ni uwezo wa kuzalisha bidhaa na kutengeneza wahitaji wenye uwezo wa kununua na kutumia na inapendeza mhitaji wa kwanza ukiwa wewe mwenyewe.
 
Nauliza tena unajua kusoma?
Au ww ndio wale ambao hampendi watu wakicomment mnataka kupinga hata mkijaziwa nyama? Nimeongeza swali jingine
 
Haws wemzetu wana akili sana , unazalisha kwa wingi, unatumia soko lako la ndani ,

Kwanza unakuwa unawapa ajira na soko la uhakika wananchi wako,

Hapa kwetu wafugaji wangesaidiwa kufuga kwa wingi na wanafunzi ws primary wote serkali ingewanunulia maziwa,

Hapo tungekuwa tumepunguza sana tatizo la soko kwa wafugaji wetu na wengi wangefuga.

Dernmak wanafanya hivyo na maziwa yakiwazidia wanamwaga baharini.
 
Nauliza tena unajua kusoma?
Au ww ndio wale ambao hampendi watu wakicomment mnataka kupinga hata mkijaziwa nyama? Nimeongeza swali jingine
Nimekuelewa tuko pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…