Kwa Imani, huyo aliye pembeni yako atakuwa Xpin........... Hebu nipigieni makofi jamani!Nina imani kali sana ya kutazamia mambo yajayo.Kwa hiyo ninaishi kwa imani.Hiyo avatar ninaiangalia familia yangu miaka kadhaa ijayo.Ni kama Mungu alivyofanya;
Kwa imani aliumba ulimwengu
kwa imani tulikombolewa..........
Kwa hiyo avatar isikusumbue sana......Nimejibu swali? kama bado usiofu kuniuliza.
najua unatania tu hapo kwenye red!halaf wewe kwa mataniππ
mimi nimekutwanga na masenksi KUMI NA SITA kwa kuiondoa hiyo senksi,na ya kumi na saba hii:Nimeiondoa senks yangu. Jamani ushirikina wa Tanga na bagamoyo ni kiboko.swanga ni kwema tu.
Wadau, ukiachilia na jinsi ya kuomba kwenye makabila, wenye ndoa ambao ni mmoja wao ni mchungaji wa kanisa la kiroho inakuwaje???
MUHASIBU VIPI?Wadau, ukiachilia na jinsi ya kuomba kwenye makabila, wenye ndoa ambao ni mmoja wao ni mchungaji wa kanisa la kiroho inakuwaje???
hehehehe!kule washkaji wanakunywa valuu WAMEKAA KWENYE MIKUKI,NA WALA HAIWACHOMI MAENEO!...mikuki ndo stuli za kaunta huko swangaπππSubiri nikipata nauli nikaenda huko ntakupa habari!!!
mi siombi bana....Kiongozi nakusubiri umwage maneno yako hapa!! Unaombaje mambuz kwa mai waifu wako?
Mamushka hicho ni kilio baada ya mtarimbo kutumbukia sehemu yake.kheeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
huyo ni x-pin ALIYEZIDIWA NA VALUU NYINGI!anaikimbia tarbenakleKwa Imani, huyo aliye pembeni yako atakuwa Xpin........... Hebu nipigieni makofi jamani!
Mie mwenyewe mzaramo cku hizi.Kama alivyosema Xpin ('mtarajiwa') tukipata nauli tutaenda na kukuletea info.Ila nasikia redio Tanzania wanasema kwamba ni kwema.mimi nimekutwanga na masenksi KUMI NA SITA kwa kuiondoa hiyo senksi,na ya kumi na saba hii:
The Following User Says Thank You to Charity For This Useful Post:Geoff (Today)
halafu uniambie sumbawanga kwema TO WHAT EXTENT
najua unatania tu hapo kwenye red!halaf wewe kwa mataniππ
mh! Mh! Mh! Sogea huku katika jina la bwana, biblia inasmea msinyimane amee ame ame amee ameeeen! hapo tayari saa nyingi.
afu mimi nilijua wewe ni She.sore ofutopikmi siombi bana....
lakini siku moja moja huwa nasema ende mbonyi tsoo!!!
hahahaaa
kwikwikwikwi!hivi ukiwa pale kama kweli unataka kudumisha mila SERIOUSLY na una valuu zako nne kichwani UTAKUMBUKA KONDOM?naah!mimi enzi zangu nilikuwa SIKUMBUKIHii imenikumbusha story moja ambayo nasikia jamaa walimpigia chabo mwenzao.
Jamaa alikuwa aimsotea mtoto siku nyingi na siku alipompata, akaamua kumvalia SOX. Mtoto kuona Sox akasema kuwa "yeye anaenda bila condom na kama jamaa hataki basi ina maana hamwamini na mchezo uishe kabla haujaanza".
Jamaa alisikika akivua condom na kusema "Na wewe hutaniwi??"
TARBENAKLE hapakwepeki!kuna wakati ndoa unatamani kuikimbia kisa tarbenakle!Hahahaha! Ngoja nicheke tena Hahahahaha!
Tarbenakleπππ!!!!!!!!!!!!!