Hivi ndivyo tendo la NDOA linavyoombwa na baadhi ya Makabila

Nina imani kali sana ya kutazamia mambo yajayo.Kwa hiyo ninaishi kwa imani.Hiyo avatar ninaiangalia familia yangu miaka kadhaa ijayo.Ni kama Mungu alivyofanya;
Kwa imani aliumba ulimwengu
kwa imani tulikombolewa..........
Kwa hiyo avatar isikusumbue sana......Nimejibu swali? kama bado usiofu kuniuliza.
Kwa Imani, huyo aliye pembeni yako atakuwa Xpin........... Hebu nipigieni makofi jamani!
 
Nimeiondoa senks yangu. Jamani ushirikina wa Tanga na bagamoyo ni kiboko.swanga ni kwema tu.
mimi nimekutwanga na masenksi KUMI NA SITA kwa kuiondoa hiyo senksi,na ya kumi na saba hii:
The Following User Says Thank You to Charity For This Useful Post:Geoff (Today)

halafu uniambie sumbawanga kwema TO WHAT EXTENT
 
kheeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wadau, ukiachilia na jinsi ya kuomba kwenye makabila, wenye ndoa ambao ni mmoja wao ni mchungaji wa kanisa la kiroho inakuwaje???

mh! Mh! Mh! Sogea huku katika jina la bwana, biblia inasmea msinyimane amee ame ame amee ameeeen! hapo tayari saa nyingi.
 
MUHASIBU VIPI?
mwekezaji ni mchungaji nini?
hahahaha
angalia bwana usijetuharibia wachungaji wetu makanisa yakatetereka😀😀
 
mimi nimekutwanga na masenksi KUMI NA SITA kwa kuiondoa hiyo senksi,na ya kumi na saba hii:
The Following User Says Thank You to Charity For This Useful Post:Geoff (Today)

halafu uniambie sumbawanga kwema TO WHAT EXTENT
Subiri nikipata nauli nikaenda huko ntakupa habari!!!
 
hehehehe!kule washkaji wanakunywa valuu WAMEKAA KWENYE MIKUKI,NA WALA HAIWACHOMI MAENEO!...mikuki ndo stuli za kaunta huko swanga😀😀😀
 
kheeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mamushka hicho ni kilio baada ya mtarimbo kutumbukia sehemu yake.
Tunataka utuambie kabla haijafikia hatua hiyo, muzee alikuambije mpaka ukakubali kujimwaga kwenye sita kwa sita ilhali ukijua fika kabisa utatoa hicho kilio?
 
Kwa Imani, huyo aliye pembeni yako atakuwa Xpin........... Hebu nipigieni makofi jamani!
huyo ni x-pin ALIYEZIDIWA NA VALUU NYINGI!anaikimbia tarbenakle
hahahahahaha😀😀
 
mimi nimekutwanga na masenksi KUMI NA SITA kwa kuiondoa hiyo senksi,na ya kumi na saba hii:
The Following User Says Thank You to Charity For This Useful Post:Geoff (Today)

halafu uniambie sumbawanga kwema TO WHAT EXTENT
Mie mwenyewe mzaramo cku hizi.Kama alivyosema Xpin ('mtarajiwa') tukipata nauli tutaenda na kukuletea info.Ila nasikia redio Tanzania wanasema kwamba ni kwema.
 
najua unatania tu hapo kwenye red!halaf wewe kwa matani😀😀

Hii imenikumbusha story moja ambayo nasikia jamaa walimpigia chabo mwenzao.

Jamaa alikuwa aimsotea mtoto siku nyingi na siku alipompata, akaamua kumvalia SOX. Mtoto kuona Sox akasema kuwa "yeye anaenda bila condom na kama jamaa hataki basi ina maana hamwamini na mchezo uishe kabla haujaanza".

Jamaa alisikika akivua condom na kusema "Na wewe hutaniwi??"
 
huyo ni x-pin ALIYEZIDIWA NA VALUU NYINGI!anaikimbia tarbenakle
hahahahahaha😀😀

Hahahaha! Ngoja nicheke tena Hahahahaha!

Tarbenakle😀😀😀!!!!!!!!!!!!!
 
Wanyamwezi safi sana na rahisi sana.

" Nya wa Kalunde, ene nuwigwa mbeho" yaani "Mama kalunde, mimi nahisi/nasikia baridi".
 
mh! Mh! Mh! Sogea huku katika jina la bwana, biblia inasmea msinyimane amee ame ame amee ameeeen! hapo tayari saa nyingi.

kwa hiyo wachunga kondoo wa bwana wao ni dakika moja tuu! tayari
ureefu wa kutamka amen tu!
 
Hii imenikumbusha story moja ambayo nasikia jamaa walimpigia chabo mwenzao.

Jamaa alikuwa aimsotea mtoto siku nyingi na siku alipompata, akaamua kumvalia SOX. Mtoto kuona Sox akasema kuwa "yeye anaenda bila condom na kama jamaa hataki basi ina maana hamwamini na mchezo uishe kabla haujaanza".

Jamaa alisikika akivua condom na kusema "Na wewe hutaniwi??"
kwikwikwikwi!hivi ukiwa pale kama kweli unataka kudumisha mila SERIOUSLY na una valuu zako nne kichwani UTAKUMBUKA KONDOM?naah!mimi enzi zangu nilikuwa SIKUMBUKI
 
Hahahaha! Ngoja nicheke tena Hahahahaha!

Tarbenakle😀😀😀!!!!!!!!!!!!!
TARBENAKLE hapakwepeki!kuna wakati ndoa unatamani kuikimbia kisa tarbenakle!

ngoja niwahi valuu ili iniongezee ujasiri wa kuipenda tarbenakle😀😀
 
Back
Top Bottom