Dont run babe, all the shit goes in here!!Mh!! Samahani, Wrong toilet!! tehe tehe
mhhh? hapa sijakuelewa.am sloo lena.rekordi zangu zinaniambia WANAWAKE WANAONGOZA KWA KUDUMISHA MILA!kuna formula moja ukiplug in statistical dataaz fulani utaona MADHARA YA KUDUMISHA MILA NA WATU WANAOKUMBWA NAO
umekula SENKSI hapooooooooooooooooo!JIBU NI NDIYO.
nadumisha mila zooote.Mila mbaya kama kunywa soda sidumishi.
hahahahaaa! kwenye red panahusikahhehehehe!bela UNOGE?
hahahahaha!nziwiike kutaali saaana yani...!
avangi vitigila ''BELA NDE MUYAGO NGUKUDOBOKA KWELI YANI...!tulikibita ku-mahame tukasake nzagala?ππ
rekordi zangu zinaniambia WANAWAKE WANAONGOZA KWA KUDUMISHA MILA!kuna formula moja ukiplug in statistical dataaz fulani utaona MADHARA YA KUDUMISHA MILA NA WATU WANAOKUMBWA NAO
Hahahahahaaa.m2 wangu kweli hujatulia.umekula SENKSI hapooooooooooooooooo!
mama'aa wa MILAAZ
HEHEHE!ndo zilikuwa zako eeh!masista wa makamadolesi WALIIPATA HABARI YAOππhahahahaaa! kwenye red panahusika
hommie leta hela ya tuisheni be?!Hommie hebu tema utirio hapa tuproove!π
Hommie hebu tema utirio hapa tuproove!π
Sina uhakika kama namkumbuka mnyamaHEHEHE!ndo zilikuwa zako eeh!masista wa makamadolesi WALIIPATA HABARI YAOππ
UNAMKUMBUKA MNYAMA WEWEEEEEEEEE?....
au wewe ulikuwepo enzi za CONTENA na WHITE?halafu nani alimzalisha white?π
white kuna watu walimdunga bwana!nakumbuka vizuri ni mwaka mmoja baada ya ninyi kuondoka alizaaπππSina uhakika kama namkumbuka mnyama
Lakini white wa jikoni namkumbuka sasa!
Duh! mimi bana...enzi zile acha kabisa.
white alizalishwa? sina taarifa hizo, lakini ni muhimu ukanieleza ni lini.
Suspects wapo bana, nawajua kabisa.
kuna jamaa yangu nilienda kumtembelea mahala hivi, nikalala kwake.
sasa usiku nikiwa chumbani, nikasikia akimwambia mkewe
Weee, njoo basi, mbona unaangalia TV tu mda wote mi nataka kulala.
nikajua eheeee!
hahahaa! tusiweke hadharani watu wanaweza kunyimwa nanihii si unajua tarehe tayari?white kuna watu walimdunga bwana!nakumbuka vizuri ni mwaka mmoja baada ya ninyi kuondoka alizaaπππ
baba wa mtoto lazima anatokea darasani kwenu!
hahahahah!hivi ni nai uliyemwambia LETE HIYOOOOOO
huyu sikonge anamaliza mbavu zetu!
hivi kule kigoma inakuwaje mkuu SIKONGE?
ha ha ha - wanyawezi wanayo mengi tu kama -
"we nyee wa kabemba - izuu unsunkumale kulase isonga"
ila kwa wasukuma - sidhani kama umepatia - inabidi uombe upewe sentensi yenyewe kamili.
nadhani wakati mwingine si lazima kutamka maneno wakati unataka, vitendo vyenyewe vinatosha kufikisha ujumbe kuwa sasa mpenzi wangu nahitaji.........................Kwani ina maana ni wanaume tu ndo wanaanzaga kuwataka wake zao? Mtupe na wanawake wanavyolianzisha