Hivi ndivyo tendo la NDOA linavyoombwa na baadhi ya Makabila

Tendo la Ndoa kwa wanandoa katika Makabila tofauti huombwa kwa viashirio tofauti:

Msukuma: "Mama Kabula twendee tukhalimege litonge"

Mchagga: "We Mama Haika,uko wapi?? Ntaacha!!!"

Mkurya: "Rara chini nikurenge"

Mhaya: "Mama Koku if you are ready twende tuka-perform"

Mjaluo: "Twendege tukasukumane"

Mmasai: "Mama Yeyoooo nataka ile amesa mwensake saa hii"

Mpare: "Mama Foibe thou nikakudenge"

Najua Tanzania ina Makabila mengi sana hebu ambayo sijayaweka tusaidiane kuyaweka hapa ili nasi tujue coz natarajia KUOA lakini sijui kabila gani !!!
 
dah
kikwetu mtu akitak unyumbabasi km ni demu anaanza kufanya km anaruka ivi km malaika anapaaa...
km ni mwanaume basi anaruka ruka km chura basi unajua jamaa anataka...USINIULIZE KABILA...M AAFRICAN thats ol.
 
Mnyamwezi,yeye anasema "zogo tunkungule o nyabhu" akimaanisha njoo tumfungue nyau(paka)
 
Duh!! Hapo nimekupata ROSE kama nakuona ukianza kuruka kama malaika!!!

dah
kikwetu mtu akitak unyumbabasi km ni demu anaanza kufanya km anaruka ivi km malaika anapaaa...
km ni mwanaume basi anaruka ruka km chura basi unajua jamaa anataka...USINIULIZE KABILA...M AAFRICAN thats ol.
 
Jamani hii imekaeje, kabila letu watu huanza kukimbizana kama ze kukuz
 
Mmhh!!! Mbona unaanza kunitega jamani ROSE??!!
Naogopa huyo unayemkonyeza,inabidi niku PM kama unataka kunirukia!!!
Hivi ile sheria ya KUKONYEZA unashtakiwa iliishia wapi??!!

tafuta date n venue nikurukie rukie eng wangu..
 
Mmhh!!! Mbona unaanza kunitega jamani ROSE??!!
Naogopa huyo unayemkonyeza,inabidi niku PM kama unataka kunirukia!!!
Hivi ile sheria ya KUKONYEZA unashtakiwa iliishia wapi??!!

haijaisha ..bt kwako aitaaply...
we kuja tu mi ntakurukia rukia then we utaruka kichura chura...
 
Sheria ipo mkubwa,sema inaku2 coz haija2mika
 
dah
kikwetu mtu akitak unyumbabasi km ni demu anaanza kufanya km anaruka ivi km malaika anapaaa...
km ni mwanaume basi anaruka ruka km chura basi unajua jamaa anataka...USINIULIZE KABILA...M AAFRICAN thats ol.

Ha haaa hi nayo kali kwahiyo wanaongozana moja anaruka kama chura mwingine anataka kupaa, sibure ukiwakuta utasema wanawanga.
 
Nipo tayari kuruka kichura chura!!!
Rose nikicheck Avatar yako ni kama 2po fac2fac unanikonyeza ati!!!

haijaisha ..bt kwako aitaaply...
we kuja tu mi ntakurukia rukia then we utaruka kichura chura...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…