Mnyamwezi,yeye anasema "zogo tunkungule o nyabhu" akimaanisha njoo tumfungue nyau(paka)
Ha haaa hi nayo kali kwahiyo wanaongozana moja anaruka kama chura mwingine anataka kupaa, sibure ukiwakuta utasema wanawanga.
Wandengereko wanasemaje jmani?
Nipo tayari kuruka kichura chura!!!
Rose nikicheck Avatar yako ni kama 2po fac2fac unanikonyeza ati!!!
Hapo sasa, nayeye aruke kama chura.
we usimtishe mwenzioSheria ipo mkubwa,sema inaku2 coz haija2mika
Mnyamwezi,yeye anasema "zogo tunkungule o nyabhu" akimaanisha njoo tumfungue nyau(paka)
hahaha hahhah
usiombee uwakute....lakin mimi na eng smasher tutakualika uje ushuhudie inavyokuwa....karibu
we mbondee mbondeeeeeeeeeeeeeeee upwili nene khaaaaaaaaa!!!!!!
get prepayed face to face iz on the way...wakat unaruka ruka kichura ntakuwa nakutzama usoni...sound good?
mwambie akwambie ashachagua date n venue?
hahahahahahahahahahahhahah nimecheka sana ndugu zangu lohTendo la Ndoa kwa wanandoa katika Makabila tofauti huombwa kwa viashirio tofauti:
Msukuma: "Mama Kabula twendee tukhalimege litonge"
Mchagga: "We Mama Haika,uko wapi?? Ntaacha!!!"
Mkurya: "Rara chini nikurenge"
Mhaya: "Mama Koku if you are ready twende tuka-perform"
Mjaluo: "Twendege tukasukumane"
[FONT=verdana=FONT]Mmasai: "Mama Yeyoooo nataka ile amesa mwensake saa hii"
Mpare: "Mama Foibe thou nikakudenge"
Najua Tanzania ina Makabila mengi sana hebu ambayo sijayaweka tusaidiane kuyaweka hapa ili nasi tujue coz natarajia KUOA lakini sijui kabila gani !!!
[/FONT]
Maami,
Hii sijawahi kuisikia.
Nilishawahi kusikia ya Kutongoza kwa Wasukuma "Nalikuchola Mayu, Kiyumbo Mayu........."
Sasa nimepata msamiati wa kumwamia mamaaa usiku wa leo " Nya wa Kapemba, Izu tumfungule nyau".
Ila mama akijibu "Ise wa Kapemba, mtwe walelo gusata"........mhhhh!?!?!?! yaani "Baba Kapemba, kichwa leo kinauma.
Kwamba, nyau (paka) ndo......
Mmmm nauliza tu jamani. Manake na refer to de sread above.
hakuna kabila kama hilodah
kikwetu mtu akitak unyumbabasi km ni demu anaanza kufanya km anaruka ivi km malaika anapaaa...
Km ni mwanaume basi anaruka ruka km chura basi unajua jamaa anataka...usiniulize kabila...m aafrican thats ol.
Ha haaa hi nayo kali kwahiyo wanaongozana moja anaruka kama chura mwingine anataka kupaa, sibure ukiwakuta utasema wanawanga.
There are currently 28 users browsing this thread. (14 members and 14 guests)
- Paka Mweusi
- LoyalTzCitizen
- kagarara
- Miss Judith
- chilamjanye
- LD+
- Marigwe
- BABA JUNJO
- Mfwatiliaji
- Sebere
- Vumbi
- KUNANI PALE TGA
- Gwamahala
- czar
Mtani na wangoni huwa wanafanyaje?