Hivi ndivyo tendo la NDOA linavyoombwa na baadhi ya Makabila

Hivi ndivyo tendo la NDOA linavyoombwa na baadhi ya Makabila

Nimesikia hivi ndivyo wanaume wa makabila mbalimbali wanavyoomba wake zao tendo la ndoa:

WAKURYA:Mama Bhoke rara chini nikurenge.
WAMASAI:Mama yeyo nipe ile kitu namesa mwensake.
WAHAYA:Mama koku infact njoo tuperform.
WACHAGA:Mama Manka fungua kibubu nitupe shilingi.
WAPEMBA:Mame Ali panua paja nti waja!!
Je,kabila yenu linaombaje??????????
 
asante nenda zako kalale ***** wewe hapa ni kwa ma great thinker sio sura ya kitabu (facebook).
 
Aaaaah umekopi thread yangu ya kwenye jokes eeeeeee.....
 
Hii si mara ya kwanza kusoma huu utani. But still nimecheka. Thanks Vuvuzela kutuongezea siku za kuishi (kwa kutuchekesha)
 
asante nenda zako kalale ***** wewe hapa ni kwa ma great thinker sio sura ya kitabu (facebook).
Mkuu teh! Ugreat thinker Ktk mahusiano, mapenzi na Urafiki? Kwel wewe ur a realy great thinker! Mkuu Vuvuzela thanx!
 
Back
Top Bottom