Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

Hahahaha, well done Ontario, yaani nikisoma hii thread namfananisha huyu mshkaji na wababe kama wakina Kimble kule maeneo flani, they walked away with billions of dollars, free easy money...hahahhaa! Niliwahi kuandika, wakati ndiyo kwaanza mshkaji anaanza kuwatengeneza, watu wakaignore! Piga mpunga mwanangu, mpunga halali kabisa na hawana chakukufanya.
 
Mkuu sio ya kucheka haya! Tafadhali tupe hata pole tu inatosha.
Mimi sio mpenzi kabisa wa madudu hayo, rafiki yangu alivyojiunga nilimshangaa sana, maana alishapoteza pesa kwenye GNLD, Living Forever na mala akaingia huko Folex, na tangu ameingia sijasikia mbwembwe za pesa kumbe mmeliwa lol, poleni.
 
Inahitaji utulivu sana umjue kama mshkaji ni mwizi au sio mwizi...! Mshkaji ana maneno matamu sana ya kitapeli usipotafakari unaweza kuhisi fursa si ndio hii hapa.
 
Inahitaji utulivu sana umjue kama mshkaji ni mwizi au sio mwizi...! Mshkaji ana maneno matamu sana ya kitapeli usipotafakari unaweza kuhisi fursa si ndio hii hapa.
Vyote anavyokuambieni ni kweli, lakini anatwist kidogo ili faida iishie kwake. Ukiona mtu amewekeza nguvu nyngi kwenye kuelekeza wenzake jinsi ya kutengeneza pesa ujue biashara hiyo inamlipa na ina risk kidogo zaidi kuliko actual trading!
 
vipi wewe mkuu hujawahi kwenda janjid plaza kwa Mr Ontario !??
Ningekuja na mrejesho aseh!!.. Tatizo la sisi Watanzania hatujui kutunza 'Brand' hili nimeamini maana mlengwa kumbe aliwakubalia kabisa kua nilikua nawapiga!.
 
Niliona na nilikua msomaji wa mwanzo kabisa lakin sikua interested sana maana hata hayo madorali ya kuanzia sikua nayo.
Hahaha!!... Ila me toka zamani sana kipindi mtu flan anasafiri kwenda nje akawa anataka badili hela nikamsindikiza bureau de change ndo nikawa nataka jua nikiamua badili hela halafu nikaja zirudisha wakati bei nzuri baadae ndipo kuja soma inaitwa Forex so nipo interested na hizi forex lakini siwezi kwakweli!!..
 
Sema hujui behind FOREX kuna kitu gani.. hilo ndo TatiZo..... nimehaid nikipata time ntakuja kuanzisha uzi humu ndani "KITU KILICHO BEHIND FOREX" Thus why 99% losers
Kama kuandika kiswahili kwenyewe huwezi utaweza kung'amua knowledge "adhimu" ya forex.

Ndo[emoji735]
Ndio [emoji736]


Nyie endeleeni kulima matikiti na kufuga kuku wa kizungu. Forex ni kwa watu wenye akili za kiwango cha hali ya juu. Kamuulize mtu popote pale duniani aliesoma uchumi Speculation ni nini kwenye uchumi. Hapo ndipo tunapata financial markets kama stocks,forex,commodities,shares na EFTS. Kama unakubali stocks na shares ni halali na hapo hapo unasema forex ni upuuzi bado una uwezo mdogo sana kwenye masuala ya financial markets za dunia.


Watanzania tuache lawama na kuwa "vimbelembele" kwa vitu msivyojua.


BTW forex sio kwa kila mtu. Ni watu wachache sana huwa consistent kwenye biashara hii.
 
Polen sana kwa kufanywa fursa na Ontario nyie mkizan mnaendea fursa kumbe nyie ndo fursa yenywe!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…