Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matusi ya wazazi yametoka wapi .Acha ufàla na wewe..
Chizi sànaaa wewe ña mama ako naye ni chizi anagongwa
We give you more time to think,,then come back with right answerNyie wabongo kwa kuwapa majina watu ya utapeli hamjambo
Ontario aliwapa Huduma ni ilikuwa lazima ajilipe kupitia pesa zenu ,
Utapeli ni kutoa kitu alafu ukapewa kitu fake , lakini umetoa pesa ukapata Huduma ,unaitaje utapeli sema wewe umeshindwa
Halafu utapewa mafunzo Bure ? Lazima ulipie Mimi sioni utapeli Wa Ontario Bali naona kasumba za watanzania
Kulalamika kulalamika kulalamika
Duhh... noma sana kwa kweliNandy, AY, Max, Ruge mutahaba, hawa wote nao wamekula za uso.
Wengine walikuwa wana trade kwa siri.
Kuna kigogo mmoja wizara fulani alikua akinishawishi sana nihudhurie nae class la forex chini ya ontario nikawa mbishi akabeba staff wenzie, hivi sasa namcheki tu hataki hata zungumzia tena hizo habari za forex.... hahaaaa Ontario noma sana aliwavuta hadi vigogo akiwapigisha private class [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah!! Basi I salute the man ONTARIO kama kawakalisha ma Don wa town kama akina Ruge basi huyu kiumbe ni next level!
ukweli mchungu,betting na FOREX hakuna tofauti.Nikipata time ntaanzisha uzi...... huyu Dogo Ontario arudishe PESA za watu..... FOREX is real sema ni kama sports betting tu... utofauti wake FOREX n kusoma soma ma vitabu.... but n same na betting.. huwez tajirika through FOREX....
Ukiachana na utapel watu kama akina Ontario.. behind FOREX kuna kitu kikubwa sana ambacho watu hawakijui thus why wanapoteza.... FOREX ingekuwa kama Ontario na watu wengine wanavyoaminisha hakuna mtu angekuwa masikini.. watu wote tungekuwa matajiri.....
Kuliko mtu afanye FOREX bora afanye sports betting TU....
Tupe mafanikio yako uliyopata kutokana na forex otherwise ni hadithi za paukwa pakawa.Usipende kufananisha fananisha vitu boss .
Na hii inaonyesha wewe forex huijui kabisa yaani empty kabisa .
Na ndio maana wapambe nuksi wengi humu .
Wanajidai walitoa maonyo wakati hio forex yenyewe hata kitabu kimoja hawajawahi shika .
Na hawajui kitu kabisa
Mimi namshukuru Ontario kunifumbua macho lakini namlaumu yeye na timu yake kufanya tunaofanya forex kweli kuonekana tumepotea njia .
Na nashauri tu moja afunge hio kampuni yake au awe trainer mambo ya kuwapa watu signal kkuwa chagulia beokers ndio hutuletea kelele watu wapuuzi kama kama hivi tunaovyoona hapa
Forex is real forex is not for everyone forex is very risk
Forex 50% is technique and remaining 50% is pyschology .
Kama hujui vitu hivi plizi stay out acha kumwaga sumu hapa
Ungeweka uthibitisho ingependeza sanaHuyu Dogo aliwahi kuniahid kunipa laki NNE km mtaj humu humu JF kila nikimchek text kwa namba yake ya wasap anafungua text anasoma then hajibu chochote , niliendelea kumchek km miez miwil hv anafungua text zen anakausha , daah kitendo kile kiliniuma sana maana ni dharau ,, ila namshukuru hakunisaidia ile laki NNE maana ningekuwa km kijakaz wake masuala ya kunyenyekea sio mazur, ,,Dogo sio sir dharau sana yan
Haaaaa mkuu umetishaaaaaKuna kigogo mmoja wizara fulani alikua akinishawishi sana nihudhurie nae class la forex chini ya ontario nikawa mbishi akabeba staff wenzie, hivi sasa namcheki tu hataki hata zungumzia tena hizo habari za forex.... hahaaaa Ontario noma sana aliwavuta hadi vigogo akiwapigisha private class [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aiseee.. kumbe mijinga ipo mingi Tanzania. Ndio maana CCM itatawala milele..Kwahiyo mkopo ni stocks, shares au commodities??? Hujanijibu.
Nimekwambia nitajie financial Market ipi yenye insurance unaenda kunitajia LOANS hahahahaha... Nikikuita wewe ni fuska na kahaba wa akili utasema nakutusi mkuu. Muda mwingine nyie ndio mnatulazimisha kutumia maneno ya shombo.
Kama nilivyokuahidi jibu lako kati ya maswali niliyokuuliza litanifanya nikujue wewe ni nani. Nimekujua ulivyo mweupe kichwani kama unga wa sembe.
Kingine wewe elimu yako hustahili hata kuajiriwa kuwa shamba Boy.
Nilishtuka baada ya kufananisha analysis za astroforex kwenye web yao ambapo kipindi kile wale jamaa walisema buy EURUSD lazima ifike 1.2400 huku wakitoa sababu pamoja na chat ambapo cre anakwambia sell EURUSD and hold lose inafika $55 na mtaji wenyewe $100 unamuliza mentor should we cut lose yeye anakujibu hold tangu siku hiyo nikagundua huyu mentor uwezo mdogo na magumashi tu sikuwahi kufuata tena call zake na mwishowe nikajitoa magroup yao.Kifup yule mentor hana strategy, huwa anatumia support & resistance only kufanya maamuz,
Mkuu umefafanua vizuri sana point yako.Nimesoma uzi kwa utulivu kabisa na baadhi ya comments za wadau.. naomba nikazie tena kwenye hoja ya mleta Uzi kuwa FOREX SIO UTAPELI ILA BAADHI YA WATU NDO WANAFANYA FOREX IONEKANE NI UTAPELI.
Kimsingi mimi nafanya forex na nilipata training pale pale kwa ONTARIO ila kabla ya training nilishasoma vitabu kibao na hakuna kitu ambacho nilikisikia kwa Rea ambacho kilikuwa kigeni kwangu.
Naomba nimuongelee ontario kidogo..kwa kifupi tu mtu unayejua kusoma mtu ukikutana na ontario kwa mara ya kwanza tu huna hata haja ya mpaka ukae naye uongee nayo utajua tu kuwa ni mtu mwenye dharau. Dharau za ontario kwa mtazamo wangu zinaweza kuchangiwa na vitu kadhaa,,
- kwanza kabisa kabila lake ni watu wa kujisikia sana (nina mfano wa professor mmoja hv pale chuo kikuu hata chai ya ofisi alikuwa hanywi anakuja na chai yake. na ni mtu wa kujisikia kweli kweli yaani yeye ndo yeye hakuna mwingine)
- background yake na mafanikio yake kwenye umri mdogo,,,kama mnavojua ontario alishakiri hapa si mara moja wala mbili kuwa katokea kwenye familia maskini kabisa na kapambana sana kufika hapo alipo. Sasa basi kama wengi tujuavyo ukiwa umetokea kwenye familia maskini halafu ukaja kuzishika tena kwenye umri mdogo basi tutakukoma kama we ni limbukeni wa hela. Kwa hyo kinachomsumbua ontario ni background yake na ana ulimbukeni wa hela kiasi kwamba anaona wasio nazo kama mabwege fulani hivi.
- Ontario amejitahidi kujua mambo mengi sana akiwa bado mdogo kwa jinsi hyo anawaona wale ambao hawajui kama wanaijaza tu dunia bure. Najua amefanya bidiii sana kuyajua ayajuayo ila kisiwe kigezo cha kuwaona wasiojua kuwa hawafai.
Nirudi kwa TMT na biashara ya forex...Kwa kifupi ONTARIO hakujipanga kuanzisha TMT...kimuonekano alijitahidi sana ila je wale aliowalete kutoa training na mentorship ni watu sahihi??? Nikianza na Rea sikuon tatizo lake maana alitahidi sana kumwaga material kadri ajuavyo yeye na kwa kikubwa alitoa basics za forex ilibaki tu mtu mwenyewe kujiongeza kwa kusoma vitabu na kufanya backtesting kwenye demo ila awe nondo zaidi.
Nije kwa Mentor Cre...Mungu wangu yule jamaa ni bure kabisa...yaani kwa kifupi nilianza kumwekea walakini week ya pili tu baada ya kumaliza training na kuanza kutrade live. Kwa kifupi Cre ni mchanga sana kwenye forex yaani jicho lake kwenye charts ni changa mno na kimsingi hajaiva kuwa mentor bado anatakiwa kuwa chini ya mentor na sio yeye kuwa mentor maana bado ni mchanga sana sana sana kwenye kuanalyze charts. Kuna baadhi ya jamaa zangu niliwaleza mwanzo kabisa kuwa Cre bado hajaiva ila wakaona kama najifanya najua sana ila kwa sasa wamekubaliana na mm kuwa kuna vitu niliona kwa Cre ambavyo walikuwa hawajaona. Kwa kifupi Cre sio mentor na asipokubaliana na hali na kukubali kuwa chini ya mentor ili apate ujuzi atawaumiza wengi.
Kuna ishu fulani ilijitokezaga mwezi wa 12 mwaka jana kuwa Cre alikuwa anaiba analysis za BFG wa south na kushare ana Mentees wake ila ile ishu Cre alikana na kusema alishajotoa kwenye group la BFG ila nashawishika 10000000000% kuwa Cre alikuwa anaiba analysis za BFG kwani baada tu ya kusema ameshajitoa kwenye group la BFG ndo alianza kumake call za ajabu ajabu (yaani loss tupu).
Ishu ya Cre kusema kuwa JPmarkets walikuwa wanawa B Book clients wake huo ni uongo wa kiwango cha lami maana mm mara ya mwisho kutrade call za Cre sikuwa na Jpmarkets ila nilipata loss kubwa tu kwa kuitika call yake. Sasa endpo call yake ilikuwa sahihi kwa vile mm nilikuwa na broker mwingine nilitakiwa kupata faidi na wale waliokuwa na JPmarkets ndo wangepata loss maana jpmarkets wanatrade against client wake kama alivosema Cre. Kwa kifupi Cre ni mweupe jamani......Khaaaaaaa....mpaka nakereka.
Nina mengi ya kuandika kuhusu huyu bwana Cre ila ngoja tu mengine niache maana huyu jamaa alishanikera sana sana maana loss nyingi nilizopata nilikuwa nawasiliana naye na kumweleza kabisa kuwa call aliyomake sio ila anakuwa mbishi. Na mm kwa kutojiamini inabidi nikubaliane naye halafu baadae inakuwa maumivu tu.
Ushauri kwa ONTARIO
- Mkuu najua sana wewe ni mpambanaji sana sana ila kama alivyosema mleta mada tamaa imekuponza sana sana...sitaki kwenda ndani zaidi maana mleta mada ameshasema mengi...Ila ontario acha tamaa mdogo wangu.
- Umejishushia sana heshima yako ambayo umeijenga kwa muda sana kwa kwanza kuweka tamaa mbele ila kibaya zaidi watu ulioshirikiana nao kwenye kuleta forex tanzania sio watu sahihi maana ungeleta watu sahihi hata huu ujanja ujanja tuliogundua wala tusingegundua endapo mentor angekuwa sahihi na watu wanaona faida kwa kutrade forex. Sisemi kuwa hakuna loss kwenye forex trading ila hizi loss za Cre zimezidi mkuu wangu. Kwa kifupi jamaa ni mweupe sana sana sana.
- Kama una mpango wa kuendelea kutoa training ya forex trading na mentorship..Nakushauri achana na Cre tafuta mentors wengine...South kuna mentro kibao ambao wanaweza kurudisha hesima yako kwa mwezi mmoja tu. Watanzania sisi ni watu wa kusahau mapema ukituletea mentor mzuri tukapiga hela mwezi mmoja tu mbona haya yote tuliyopitia tunayasahau faster tu.
Namalizia kwa kuseme Ontario Cre sio professional trader na hatakaa awe. yule anatakiwa tu awe chini ya mentor baaasi na sio yeye kuwa mentor.