theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Both smart tapeli na selfish....Yuko smart au tapeli...? ..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Both smart tapeli na selfish....Yuko smart au tapeli...? ..
Kama hikiulichosema ni kweli,,sasa huu ni utapeli unaofanywa na ma broker +mentor.Hatari sanaMkuu wanaoibiwa hapa huwa ni wageni halafu huwa ni dependent traders kama wa TMT. Mfano mimi kuna broker mmoja alishawahi kucheza na MT4 na nikagundua kwahiyo nikafanya analysis kutumia broker mwingine. Mfano mkuu unaoneshwa Shooting star lazima akili iwe tayari kuanza selling lakini ukiangalia broker mwingine hakuna ile shooting start bali ni bullish harami.
Kwahiyo wanakuchanganya kwenye candlesticks pattern/price pattern au wanacheza dili na mentor kuwadivert badala ya kusell nyie mnabuy kwakuwa mnamsikiliza. Newbies wengi wanauingia huu mtego lakn naamini kinakuja kizazi cha profitable traders Tanzania
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Biko mshiko. Nje nje
Anayetoa maneno ya dharau atajibiwa kwa dharau pia .Kwanini unapoteza muda kujibu watu wasiojua kitu? Kama wanasema Forex ni kamari,utapeli wakati sio kweli wewe inakupunguzia nini?
Hapa mlengwa mkuu anajulikana kwanini wewe upoteze muda na kutolea watu maneno ya dharau?
[emoji40] [emoji40]Nandy, AY, Max, Ruge mutahaba, hawa wote nao wamekula za uso.
Wengine walikuwa wana trade kwa siri.
mbona mim sijaitwaaa na nik peke yanguMimi naendelea kuwakumbusha tu,ukiona unaitwa kwenye fursa jua wewe unayeitwa ndo fursa!!
Watanzania tujijengee tabia ya kusoma vitu mbalimbali,siyo kusoma magazeti shigongo kila siku.
Mkadhani magorofa ya kariakooNdio maana tuliambiwa kua uyaone..!
Wafuasi wa kibwetereee .....Anayetoa maneno ya dharau atajibiwa kwa dharau pia .
The main concern ya mimi kuwajibu watu humu ni kutokana na wao kui attack the whole industry ya forex badala lawama zao wazielekeze kwa huyo Ontario .
Nikiwa kama mwana industry na ninaye faidika na hii biashara moja kwa moja kutoka sokoni sio kwa hela za watu lazima niipiganie kwa namna yeyote .
Na sisitiza watu kama hujui Forex kiundani acja kutema sumu hapa ni heri uwe mtazamaji tu .
Na kama una dukuduku lako muelekeze huyo aliyelisababisha .
Forex haipo kwa ajili ya kila mtu ieleweke hivyo na forex sio get rich quick scheme muache kudanganywa huko mitaani na social media .
It needs time,sacrifice,patience and more skills .
Kama huwezi pata hivi vitu stay out of forex .
forex is real but not for everyone
Asapp!!
Tulia mkuu nondo zinakuja.... "watu wangu wanaaangamia kwa kukosa maarifa"Hicho kitu hakisemeki wala kuandikika?
NjmekudharauWafuasi wa kibwetereee .....
Acha ufàla na wewe..Acha kupenda kitonga mtu mzima na ndefu zako yeye hata hakujui anaanza wapi kukupa hela kubwa kama laki 4 .
We jamaa hata hujui kujiongeza mtu wa ajabu sana
Yaani jibaba zima linasubiria laki 4 kwa dogo hahahah
Na angekupa ungeichoma ndani ya dakika kadhaa au ungeenda kuhonga na kunywea viroba huko uchochoroni
Bora alivyonyuti
Siku ingine akili yako ifanye kazi vizuri