Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

Link ya hilo group mkuu mbona haifunguki ninaomba mtu aposti tena Tafadhali na asanteni
 



Mkuu wangu hili la kupoteza hela kila mtu amelipitia sana tu. Kuna siku Cre alipost trades za Loss aliyopata kwenye groups nalo hili linakuweje au alipost demo labda???sijui. Kama ni kweli kuwa Cre alikuwa anafanya call za loss makusudi ili akagawane hela na broker basi yule bwana ni shetani maana kwanza walikuwa wanachukua pips 2 kwa kila position watu walikuwa wanafungua. Walikuwa wanapata commision ya IB...tukiwithdraw hela kuna kiasi cha hela walikuwa wanabaki nacho maana exchange rate ilikuwa ni tofauti na kwenye madukaya kubadilisha hela kwa siku hyo...ilikuwa inakuwa chini kidogo na unajua kuwa pesa zilikuwa zinapitia acount ya TMT.

Kama kweli hawa jamaa hawakuridhika na hela waliyokuwa wanapata kwenye spread, IB na withdraws bado wakaamua tukukamua zaidi kwa kutupa call za uongo...basi hawa mabwana sio binadamu wa kawaida...Niseme tu hvo basi..ACHA NIENDELEE KUPIGA SHULE YA FOREX ILI NIJITEGEMEE 100%
 
Akamatwe huyu mtu.. arudishe PESA


Tuungane tukamkamate mkuu wangu...Ila kwenye hii biashara kuna kitu huwa wanaweka hata mabroker wote huwa wanaweka...Soma hapa chini

Risk Warning: Trading financial products on margin carries a high degree of risk and is not suitable for all investors. Losses can exceed the initial investment. Please ensure you fully understand the risks and take appropriate care to manage your risk.
 
Kuna kitu nimejiuliza hapa..HV watu wote walio dar wakamua kuvamia ofisi za tmt wakidai hela yao halafu polisi wakaja pale Ontario akakamatwa na matv na makamera yakimulika si itakuwa imemchafua sana. Zile invitations za kuongea au kuhudhuria makongamano ya kimataifa si ndo itakuwa basi tena. Kweli tamaa mbaya sana huyu Kijana Ontario kajiharibia sana kwa kupofushwa na tamaa kama kweli na yeye kahusika moja kwa moja kuwapuna watanzania wenzake hela zao.
 
Nitakuja kuanzisha uzi jinsi nilivyotengeneza 97m ndani ya mwezi mmoja tu kwa mtaji wa tsh 10000 kwenye betting.
Nitaeleza mbinu nilizotumia mpaka kufanikisha hiyo pesa.
Leta huo Uzi mapema aisee
 
Nitakuja kuanzisha uzi jinsi nilivyotengeneza 97m ndani ya mwezi mmoja tu kwa mtaji wa tsh 10000 kwenye betting.
Nitaeleza mbinu nilizotumia mpaka kufanikisha hiyo pesa.
We are waiting.
 
Nitakuja kuanzisha uzi jinsi nilivyotengeneza 97m ndani ya mwezi mmoja tu kwa mtaji wa tsh 10000 kwenye betting.
Nitaeleza mbinu nilizotumia mpaka kufanikisha hiyo pesa.
Mkuuu leta haraka sanaaaa hiyo mbinu.
 
Wale wa "Da Mange" alishawahi kuwaambia D9,Pamoja na Forex ni mchezo mbaya leo ndo hayo.
"Mama aliniambia mwanangu kuwa uyaone nilizani maghorofa"Diamond Platnumz
 
Ahahah mkuu kama haja kuelewa basi hakuelewi tena
 
Kuna hii hapa telegram link ambayo ina hundreds of books za Forex, and all global financial market...ni forex library kubwa.

Uzuri wa mule wana post vitabu tu daily hakuna kuombana hela, wala kuchart. Its the no zone for scammers. Its all about gaining solid knowledge. I recommend this for self learning and enlightenment.

Hawa hapa @TradersLibrary TraderLibrary to enter, click on the following link: [emoji116]
Traders Library
 
Humo Kwenye hiyo traders library group ni mwendo wa kula vitabu tu mwanzo mwisho..!

 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ,ukweli utabaki pale pale kuwa jamaa aliwazidi na amewazidi akili mpaka kufikia kuwatengeneza na mmempa maisha kwa hiari yenu pasipo kutumia mtutu..........life means struggling na kila mmoja ana njia yake ya kutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…