Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
carbamazepine ulipona kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Link ya hilo group mkuu mbona haifunguki ninaomba mtu aposti tena Tafadhali na asanteniHawa jamaa wako vizuri na hili group lao la telegram wako very clean, transparency, no zone scammers its the great place to be a and learn and grow as a forex traders.
Na Mimi nimo kwenye group lao since way back but hawanijui..I recommends this group..nice one very informative and sophisticated.
shukrani ulieleta link.
Msingi wa hoja yangu ni kwamba Ontario hadi kumfuata Cre afanye nae kazi na kua ni mtu pekee aliye mfollow instagram ,alijiridhisha kwamba anajua, na ili mtu aweze kukupotosha inabidi ajue ili akikupotosha awe na uhakika wa kupata faida akitrade against you.
Hii ya mamentor kufanya biashara ya aina hii nimekutana nayo mara kdhaa mitandaoni,Andile Mayisela amawahi wafanyia hivi traders alikokua anawqongoza kwa kuingia mkataba na BB broker na wale traders wakapewa call za uongo na hela zikaenda na maji ,hii ndio aina ya scam
inayosemwa iko kwenye forex na inatumika kwa wale ambao ndio wageni kabisa ktk game ili hata akikwambia hii ni double top wakati siyo unakuwa huna la kupinga kwa sababu hijui.
Style hii pia nimewahi soma tuhuma mitandaoni alitumia Prophet Bushiri kuwapotosha waumini wake aliowaambia waingize hela ktk trading na yeye angewamentor kisha hela zikaenda na maji kwa kuwapotosha ktk calls.
Huu ni mtazamo wangu tu ,si lazima ukawa sahihi 100%.
Mwisho hii fx inawezekana mtu akaifahamu ila kwa kufanya jitihada kubwa,na nilikua na bahati ya kipekee ya kuwa kati ya watu wa kwanza kupata habari za hii biashara kutoka kwa Ontario ana kwa ana hata kabla hajaleta humu na nilishuhudia profits kwa macho yangu zikiwa ktk live trading yake hii iliniongezea kuiamini na kufanya jitihada za kuifahamu pia yeye mwenyewe aliniahakikishia kua inawezakana mtu kuifahamu akisoma na kupractice sana(kwa hili ninamshukuru).
sasa nina uelewa wa kuridhisha japo bado naendelea kujifunza ,pia changamoto za kupoteza hela nimezipitia sana Ila ndio tuition fee ya kuijua forex na sipendi kumtafuta mbuzi wa kafara ktk hasara zangu kwa sababu nilishawahi kufahamu kwamba every free lunch has a hidden obligation ,kwa hiyo kama nilifurahia free lunch bila kuwa na tahadhari, nilifanya kosa mimi na sio alienipa free lunch.
Akamatwe huyu mtu.. arudishe PESA
Hahaa boss nawewe ulikumbwa na hii bahati mbaya kushiriki TMT nini?Akamatwe huyu mtu.. arudishe PESA
Leta huo Uzi mapema aiseeNitakuja kuanzisha uzi jinsi nilivyotengeneza 97m ndani ya mwezi mmoja tu kwa mtaji wa tsh 10000 kwenye betting.
Nitaeleza mbinu nilizotumia mpaka kufanikisha hiyo pesa.
We are waiting.Nitakuja kuanzisha uzi jinsi nilivyotengeneza 97m ndani ya mwezi mmoja tu kwa mtaji wa tsh 10000 kwenye betting.
Nitaeleza mbinu nilizotumia mpaka kufanikisha hiyo pesa.
Mkuuu leta haraka sanaaaa hiyo mbinu.Nitakuja kuanzisha uzi jinsi nilivyotengeneza 97m ndani ya mwezi mmoja tu kwa mtaji wa tsh 10000 kwenye betting.
Nitaeleza mbinu nilizotumia mpaka kufanikisha hiyo pesa.
We are waiting.
Leta huo Uzi mapema aisee
Aisee duhMkuuu leta haraka sanaaaa hiyo mbinu.
Ahahah mkuu kama haja kuelewa basi hakuelewi tenaUnaona ulivyo mjinga.. my two lines unajibu kwa maneno mengi ambayo ni kelele tupu..
Wewe umeijua forex humu kupitia Ontario, mimi nimekaa darasani, nikasoma na nimeanza trade kabla hata wewe na Ontario hamjaingia humu JF..
Nimekwambia niambie successful people waliotajirika kwa Forex hujui na wala huna majibu. Mimi nitakwambia mpaka matajiri waliotajirika kwa kulima na kuuza hizo ndizi.
Biashara yeyote ina risk ndio maana kukawa na Insurance for unforeseen things, ila duniani kote huwezi insure biashara ya kamari. Forex ni kamari, full stop.
Usitake nirudi darasani nikufundishe topic ya Risk, niilisoma hiyo semester nzima chuoni, na sio hivi vyuo vyenu vya ajabu ajabu..
Wazee fursaNitakuja kuanzisha uzi jinsi nilivyotengeneza 97m ndani ya mwezi mmoja tu kwa mtaji wa tsh 10000 kwenye betting.
Nitaeleza mbinu nilizotumia mpaka kufanikisha hiyo pesa.
Wana mbinu hawa..Ngoja ajaribu bahati yake tuone.Wazee fursa