granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 3,249
- 7,948
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ,ukweli utabaki pale pale kuwa jamaa aliwazidi na amewazidi akili mpaka kufikia kuwatengeneza na mmempa maisha kwa hiari yenu pasipo kutumia mtutu..........life means struggling na kila mmoja ana njia yake ya kutokea.
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema ubepari ni unyama..kale kashkaji ni kabaperi ka kijaluo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ,ukweli utabaki pale pale kuwa jamaa aliwazidi na amewazidi akili mpaka kufikia kuwatengeneza na mmempa maisha kwa hiari yenu pasipo kutumia mtutu..........life means struggling na kila mmoja ana njia yake ya kutokea.
Kampuni yake iko wapi??Hilo hakuna analopingana nalo....katuzidi kweli kweli... ila kampuni haina hata mwaka inakufa...angekula vzuri na vipofu siye angekula miaka mingi sana sema tamaa zimemponza.
Ontario alishasema hataki kuongelea tena hii kitu.In all fairness, haya ni maelezo ya upande mmoja tu.
Ningependa sana kusikia na maelezo ya upande wa pili, yaani Ontario na washirika wake.
mwibgine alimaarufu 'JAMALIFE" watu wameshaonywa kuwa ni utapeli wameweka pamba masikioni. Subiri vilio tuWale wa "Da Mange" alishawahi kuwaambia D9,Pamoja na Forex ni mchezo mbaya leo ndo hayo.
"Mama aliniambia mwanangu kuwa uyaone nilizani maghorofa"Diamond Platnumz
Hawezi kuja coz he feel the guilty na hata akija he might win our heart again.. Jamaa ni Fundi wa kuandika na kuconvince Raia.In all fairness, haya ni maelezo ya upande mmoja tu.
Ningependa sana kusikia na maelezo ya upande wa pili, yaani Ontario na washirika wake.
Kampuni yake iko wapi??
Nitaenda kuifunga na kuifanyia figisu figisu ifungwe hailipi kodi na hata kama inalipa itakuwa inatoa kodi hailingani na mapato inayopata...ngoja nikapambane naye soon ataleta marejesho ya nini kilichotokea...
Leo ndio Ontario kapata zile paper za yule broker anaekataa yeye si market maker baada ya kuweka hadharani anawaambia watu ni confidential let's discus way foward after this stumble!?
Na misukule wamo wanadiscuss way foward..Daah!
Jeff we ni genius mbaba. Bow to the nigga.
Hawezi kuja coz he feel the guilty na hata akija he might win our heart again.. Jamaa ni Fundi wa kuandika na kuconvince Raia.
But kauli ya wengi ni kauli ya Mungu...ukisoma comments kuna kitu utakiona kwamba watu wameumizwa.
Cc Nyani Ngabu
Hamna mtu anaepewa docs wanakwambia ni confidential, haturuhusiwi kuziona.Ebu weka hzo docs hapa mzee baba tuzione...wanadiscuss way forward ili waendelee kupokea call za Cre au???
Hamna mtu anaepewa docs wanakwambia ni confidential, haturuhusiwi kuziona.
Then waseme way foward yaani mtu kapigwa za uso then anajadili namna ya kuendelea kupigwa zaidi.
Let's have Patience may be sooner or later he will poppin with some defensive words.Well, there’s always more than just one side to a story.
The fair-minded person in me wants to hear the other side or sides as well.
And him not coming here to address your imputations doesn’t automatically mean that he is guilt tripping.
It could just be that he has heard it all before, so there’s nothing new and therefore no need to address it.
I’m just sayin’.
Let's have Patience may be sooner or later he will poppin with some defensive words.
But hopefully the nigga have came across this allegations and accusations! I'm just pondering why is he quite and scared to come out and say some?
GreedyCoward morfuker!
I'm from the street nigga..talking about street justice and shiit. AhahahaLakini, kama amewaliza why don’t you sue him?
Hiyo Risk Disclaimer haina uhusiano wowote na kilichokuwa kinafanywa na wakina Ontario..Tuungane tukamkamate mkuu wangu...Ila kwenye hii biashara kuna kitu huwa wanaweka hata mabroker wote huwa wanaweka...Soma hapa chini
Risk Warning: Trading financial products on margin carries a high degree of risk and is not suitable for all investors. Losses can exceed the initial investment. Please ensure you fully understand the risks and take appropriate care to manage your risk.