granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 3,249
- 7,948
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ,ukweli utabaki pale pale kuwa jamaa aliwazidi na amewazidi akili mpaka kufikia kuwatengeneza na mmempa maisha kwa hiari yenu pasipo kutumia mtutu..........life means struggling na kila mmoja ana njia yake ya kutokea.
Hilo hakuna analopingana nalo....katuzidi kweli kweli... ila kampuni haina hata mwaka inakufa...angekula vzuri na vipofu siye angekula miaka mingi sana sema tamaa zimemponza.