Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ,ukweli utabaki pale pale kuwa jamaa aliwazidi na amewazidi akili mpaka kufikia kuwatengeneza na mmempa maisha kwa hiari yenu pasipo kutumia mtutu..........life means struggling na kila mmoja ana njia yake ya kutokea.

Hilo hakuna analopingana nalo....katuzidi kweli kweli... ila kampuni haina hata mwaka inakufa...angekula vzuri na vipofu siye angekula miaka mingi sana sema tamaa zimemponza.
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema ubepari ni unyama..kale kashkaji ni kabaperi ka kijaluo.

Hakana huruma hata chembe na hivi ni kaetheist akaamini hata uwepo wa Mungu ndo akana hata hofu ya Mungu. Kanatunyoosha tu!
 
Hilo hakuna analopingana nalo....katuzidi kweli kweli... ila kampuni haina hata mwaka inakufa...angekula vzuri na vipofu siye angekula miaka mingi sana sema tamaa zimemponza.
Kampuni yake iko wapi??
Nitaenda kuifunga na kuifanyia figisu figisu ifungwe hailipi kodi na hata kama inalipa itakuwa inatoa kodi hailingani na mapato inayopata...ngoja nikapambane naye soon ataleta marejesho ya nini kilichotokea...
 
Ukweli ni kwamba Ontario ni moja ya vijana wenye uthubutu na ni kijana mwenye akili nyingi ya maisha japo kawaingiza chaka lkn poleni sana mjifunze kutokana na makosa,maisha lazima yaendelee.
 
Hivi sasa kuna Utapeli
Wale wa "Da Mange" alishawahi kuwaambia D9,Pamoja na Forex ni mchezo mbaya leo ndo hayo.
"Mama aliniambia mwanangu kuwa uyaone nilizani maghorofa"Diamond Platnumz
mwibgine alimaarufu 'JAMALIFE" watu wameshaonywa kuwa ni utapeli wameweka pamba masikioni. Subiri vilio tu
 
In all fairness, haya ni maelezo ya upande mmoja tu.

Ningependa sana kusikia na maelezo ya upande wa pili, yaani Ontario na washirika wake.
Hawezi kuja coz he feel the guilty na hata akija he might win our heart again.. Jamaa ni Fundi wa kuandika na kuconvince Raia.

But kauli ya wengi ni kauli ya Mungu...ukisoma comments kuna kitu utakiona kwamba watu wameumizwa.

Cc Nyani Ngabu
 
Kampuni yake iko wapi??
Nitaenda kuifunga na kuifanyia figisu figisu ifungwe hailipi kodi na hata kama inalipa itakuwa inatoa kodi hailingani na mapato inayopata...ngoja nikapambane naye soon ataleta marejesho ya nini kilichotokea...

Duuu...yamekuwa haya tena???
 
Leo ndio Ontario kapata zile paper za yule broker anaekataa yeye si market maker baada ya kuweka hadharani anawaambia watu ni confidential let's discus way foward after this stumble!?

Na misukule wamo wanadiscuss way foward..Daah!

Jeff we ni genius mbaba. Bow to the nigga.
 
Ebu weka hzo docs hapa mzee baba tuzione...wanadiscuss way forward ili waendelee kupokea call za Cre au???
 
Hawezi kuja coz he feel the guilty na hata akija he might win our heart again.. Jamaa ni Fundi wa kuandika na kuconvince Raia.

But kauli ya wengi ni kauli ya Mungu...ukisoma comments kuna kitu utakiona kwamba watu wameumizwa.

Cc Nyani Ngabu

Well, there’s always more than just one side to a story.

The fair-minded person in me wants to hear the other side or sides as well.

And him not coming here to address your imputations doesn’t automatically mean that he is guilt tripping.

It could just be that he has heard it all before, so there’s nothing new and therefore no need to address it.

I’m just sayin’.
 
Ebu weka hzo docs hapa mzee baba tuzione...wanadiscuss way forward ili waendelee kupokea call za Cre au???
Hamna mtu anaepewa docs wanakwambia ni confidential, haturuhusiwi kuziona.

Then waseme way foward yaani mtu kapigwa za uso then anajadili namna ya kuendelea kupigwa zaidi.
 
Hamna mtu anaepewa docs wanakwambia ni confidential, haturuhusiwi kuziona.

Then waseme way foward yaani mtu kapigwa za uso then anajadili namna ya kuendelea kupigwa zaidi.

Basi hapo hakuna cha docs walizopata wala nn...wanachofanya ni kucheza na akili za watu tu..Cre alisema ana zaidi ya miaka mitatu anatrade kweli ashindwe kujua kama Jpmarkets ni market maker?? Huo ni uongo mkubwa na hakuna cha market maker wala nn ishu ni kwamba walikula njama na broker watupune hela zetu...Ila bado naendelea kushikilia msimamo wangu kuwa Cre ni mweupe kwenye forex.
 
Well, there’s always more than just one side to a story.

The fair-minded person in me wants to hear the other side or sides as well.

And him not coming here to address your imputations doesn’t automatically mean that he is guilt tripping.

It could just be that he has heard it all before, so there’s nothing new and therefore no need to address it.

I’m just sayin’.
Let's have Patience may be sooner or later he will poppin with some defensive words.

But hopefully the nigga have came across this allegations and accusations! I'm just pondering why is he quite and scared to come out and say some?

GreedyCoward morfuker!
 
Lakini, kama amewaliza why don’t you sue him?
 
Lakini, kama amewaliza why don’t you sue him?
I'm from the street nigga..talking about street justice and shiit. Ahahaha

But its true kuna Bonge la gap la kushinda na kupiga hela once ishu ikifika kortini maana dogo kaviolate mengi sana kwanza kutuongezea spreads wateja wake bila ridhaa yetu its against our contract.

Kutuweka kama IB link it wasn't in our willing?

E.t.c

Where the lawyers at?
 
Tuungane tukamkamate mkuu wangu...Ila kwenye hii biashara kuna kitu huwa wanaweka hata mabroker wote huwa wanaweka...Soma hapa chini

Risk Warning: Trading financial products on margin carries a high degree of risk and is not suitable for all investors. Losses can exceed the initial investment. Please ensure you fully understand the risks and take appropriate care to manage your risk.
Hiyo Risk Disclaimer haina uhusiano wowote na kilichokuwa kinafanywa na wakina Ontario..

Ontario na genge lake walikuwa wanafanya uhuni,ujambazi,utekaji,uharamia,ufisadi,uchawi na utapeli uliotukuka mbinguni na katika sayari zote.

Hiyo Disclaimer haijasema mtu atapeliwe.No. ila ni tahadhari ya jinsi biashara ilivyoshamiri kiwango kill kikubwa cha uncertainties.

Watu kama.Ontario na genge lake wapo ulimwengu mzima hata huko uelewa wa watu kuhusu forex upo kwa kiasi kikubwa. Wengi wapo jela kwa ujanja kama wa hao matapeli.

Hii nitaarifa ya FBI kuhusu jamaa mmoja aliepigwa miaka 14 kwa utapeli wa forex huko marekani
https://archives.fbi.gov/archives/c...hat-caused-343-investors-to-lose-17.6-million
 
Back
Top Bottom