Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soon tutafungua gym club [emoji2] [emoji2]Kwa Hiyo Pale Jangid,watu Bado Wanaenda Au Ndo Ofisi Tufugie Kuku?
Na wewe ni muhuni na mpuuzi kama huyo mpuuzi mwenzio..Hata kuuza ndizi porini ni gambling tosha
Kilimo pia no gambling tosha kuna wadudu,mafuriko,ukame,wezi,moto,mfumuko wabei na.mambo mengi .
Biashara zote duniani zina risk hakuna iliyo salama
Baishara zinahitaji mbinu nzuri soko zuri ujuzi na mipango the same kwenye forex
Tatizo lenu watanzania ni watu wapuuzo wapuuzi tunaponda kila kitu kikikundee kombo hutaki hata kujua wapi umekosea .
Na wengi wetu hatufanikiwi sababu mnapenda kubadilika badili kila siku kama vinyonga .
Ontario na TMT ndio waliotufungua macho fursa ya forex ambayo nni kweli iko na uhalisi lakini system zao walizotumia kuwakusanya watu na kupiga hela zao imetia doa kabisa forex .
Hii inafanya hata sisi ambao tunaifanya na hatuhusiani na TMT tuonekane wale wale tu .
So Guys mjue kutofautisha katika ya Forex market na Ontario na TmT yake .
Fanyeni utafiti msiwe watu wa kuongea ongea.vitu msivyojua
Na mjifunze kutofautisha vitu
Watanzania ni watu waajabu sana aisee
Hahahahahahaha dude ulikuwa unatetea wewe lakiniKuna ugomvi wa maslahi kwenye biashara ya kitapeli...
Mtoa mada alikua mwanafunzi wake,kakua,kaota mapembe anataka kuchukua ugali wa mwalimu...
Jay-Z anakuambia ,little monkeys grown into gorillas!
Wote wezi tu,wezi wameoneana wivu...half billion ya wizi ya Ontario imempagawisha mwanafunzi na yeye anataka awe gorilla kabisa!
Majizi majizi tu...wote waizi watupu!
Kafieni huko!
Failure is your fortuneMisukule at work ...
Na wewe ni muhuni na mpambavu kama wenzio .Na wewe ni muhuni na mpuuzi kama huyo mpuuzi mwenzio..
Nitajie hapa watu watano pekee waliotajirika kwa forex.. Mimi nitakutajia maelfu waliotajirika kwa Kilimo.
Hahahahahahaha dude ulikuwa unatetea wewe lakini
Aliwahi kusema Fid Q neno tamu huwa halina ukweli na neno baya lina ukweli ndani yake.Hizi topic za forex mkuu mimi ni mpinzani mkuu!Pitia thread zote uniambie....
Kuhusu hiyo post yangu hapo juu kuhusu position ya tmt na jp against huyu mchezaji ni opinion ...hawa waduwanzi hua siwafagiliii kabisa!
Ila Ontario ni moja kati ya watu wanafiki sijapata ona hapa duniani...just kwa kusoma threads zake!
Nafiki na tapeli la kutupwa!..Sijawahi liona physically ila kupitia threads zake unaona wazi kabisa!
ndani ya mwezi mmoja una TZS 50M kwa mtaji wa USD 1000. Ama kweli maisha easy sana aser[emoji1] [emoji1]Unadhani kwa yale maneno sukari ya mshkaji tungetokaje sasa? The guy is absolutely great market influencer yaani ukiingia ukitoka una Mungu.
Maisha haya! Ila no sweat tu.
Mkuu trump mwenywe anafanya sana forex na kaajiri hadi watu kwa hiyo kazi, sasa ukisema sio unakosea! Na ukinitajia hao watu wako waliotajirika kwa kilimo watakua wa uko kijijini kwako.Na wewe ni muhuni na mpuuzi kama huyo mpuuzi mwenzio..
Nitajie hapa watu watano pekee waliotajirika kwa forex.. Mimi nitakutajia maelfu waliotajirika kwa Kilimo.
Don't hate the game, hate the player.ndani ya mwezi mmoja una TZS 50M kwa mtaji wa USD 1000. Ama kweli maisha easy sana aser[emoji1] [emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]poleni sana... ndo maana siku hizi majukwaa yamepoa sana kumbe mnaugulia maumivu [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Amu miss you jamaniKuna Public Figure Moja Na Yenyewe Imepigwa Hapo Kwa Ontario Mwaka Jana Aliniambia Ana Project Kama Ya Bilion Kadhaa Hivi,atanshirikisha Ha Ha Ha Nawaza Sijui Nimuulize
Amu mbona upo hivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa Hiyo Pale Jangid,watu Bado Wanaenda Au Ndo Ofisi Tufugie Kuku?
AhahahahahahSoon tutafungua gym club [emoji2] [emoji2]
Unaona ulivyo mjinga.. my two lines unajibu kwa maneno mengi ambayo ni kelele tupu..Na wewe ni muhuni na mpambavu kama wenzio .
Unataka nikutajie ili iweje .
Wewe katika ulimwengu wa Forex hauko kabisa wala hujui kitu kuhusu forex so hata nikikutaji haitakusaidia kitu .
Niikuwa nakuona una akili sana humu ndani kumbe ndio wale wale tu .
Mshambiwa forex ia not for everyone tatizo mnalazimisha vitu sana .
Kitu usichikijua wewe na kisichokupa faida wewe upande mwengine wenzako wanafaidika nacho .
So acha kuponda ponda tu wakati hujui kitu kabisa yaani tabularasa .
Sitokujibu tena maana nimegundia hujui kitu zaidi ya hiyo taaluma yako uliosomea.
Sio ajabu ni Fisadikuu kweli nani anajua .
Kwaheri
Samahani mkuu, nilikufananisha na yule myahudiHizi topic za forex mkuu mimi ni mpinzani mkuu!Pitia thread zote uniambie....
Kuhusu hiyo post yangu hapo juu kuhusu position ya tmt na jp against huyu mchezaji ni opinion ...hawa waduwanzi hua siwafagiliii kabisa!
Ila Ontario ni moja kati ya watu wanafiki sijapata ona hapa duniani...just kwa kusoma threads zake!
Nafiki na tapeli la kutupwa!..Sijawahi liona physically ila kupitia threads zake unaona wazi kabisa!