Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

Hizo calculation za 5% kila siku sio realistic kabisa
Magwiji huwa wana target 30%-50% kwa mwaka, na miaka mingine huwa down zaidi ya 10%.
Sasa mkuu gwiji gani unamjua wewe anatarget 30%-50% annual?,

Ukisema 10% huyo mtu ana mtaji gani?

By the way wacha nikusaidie kitu hizo % ulizozitaja ni kwa ajili ya hedge funds

Naomba uchukue calculator halafu tafuta 5% ya 100 ambayo itakuwa kama tano tu

Sasa unatengeneza 5 leo then kesho capital yako itakuwa 105 unatengeneza tena 5% ya hiyo 105 utakayoipata ongeza iwe kama capita sasa naomba uende kwa siku 240

Hao hedge funds mitaji yao mikubwa anaweza kutengeneza 10 ila ikawa 500Million maana ana mtaji zaidi ya 5 b usd

Binafsi ninamjua mtu anayetoa 100 mpaka 5000 since january mpaka march sasa hebu niambie hiyo 5000 hawezi kuipeleka 10000 na 10000 hawezi kuipeleka 100000 na 100000 haiwezi kuwa million

Nimekujibu mara ya mwisho mkuu by the way nakwambia haya kwa sababu ninawafahamu watu wanaofanya hizi challenge

Kuna mwana mwingine alitoa ile bonus ya 30 ya XM mpaka 1000 kwa week mbili means 10 days sasa hebu jiulize huyo anashindwaje kuitoa hiyo kwenda Million

Forex its all about despline brother

Hili ni game la muda mrefu sio la siku tatu kama ONTARIO alivyotuaminisha before

Sitarudi tena kukujibu kama utakuwa na huu mjadala labda uje na kingine
 
Mimi nimekuelewa uzuri mkuu.

Patience and discipline will take us there.
 
Ofcourse sir

Lazima uwe na trading plan,

Kwamba utatrade pair zipi kwa session zip

Unajua sisi newbies tunataka tutajirike kwa siku moja hata kama utatengeneza dola 10 daily wiki ni 50 mwezi ni 200 na inawezeka unaka lisaa tu kwenye chati

Kazi gani unatengeneza 50000 kwa lisaa kukaa kwenye computer
 
Mwezi October mimi binafsi nilifanya training pale TMT jengo la Jangid.Nilijifunza nikaelewa japo backdays before Dogo Ontario ku introduce Forex na TMT,most of us tulikuwa tunajua kuhusu Forex and Binary Option but Ontario came to put more grease on it kwetu sisi na akatupa maujanja zaidi maana kwa wengi ilikuwa hata kufanya setup ya MT4 tu ilikuwa shida.But all in all kilichotokea mwezi wa kumi last year na mwezi January sio jambo la kuliangalia tu na hata hizi shutuma za last week kuwa JP markets are market makers mara watu wa JP markets nao ku reply privately to many individuals kuwa tum ignore Mentor sio jambo la kawaida.It shows there is something fishy,though as Humble African said Forex is real but there are some scammers in it.Binafsi nilianza ku trade na 550 usd mwezi October nikaikuza my account mpaka 2000 usd but unfortunately nika blow account by the start of November,nikasema isiwe tabu ni fund tena kama 200 usd haikuchukua hata week nika blow tena nikaona isiwe tabu wacha nikae pembeni nijisomee kwanza by January nikaamua ku trade na broker mwingine but by following TMT calls,still I was dancing the same beat of blowing my account so nikaona wacha niache kufuata caĺls za TMT nika fund tena account yangu kwa broker mwingine ambaye sio JP markets nikapiga moyo konde nikaanza kutrade kwa analysis zangu.Allah hamdullihah mashallah sijawahi kublow account mpaka sasa na trade safely napata faida natoa hela like this over the weekend mambo yanakuwenda.Hata mimi na conclude kuwa kutupa training then kutu force tuwe chini ya broker wako kuna walakini.Ila cha kusema ukweli Ontario tunamshukuru kwa ku expose Forex kwa watu wengi hapa Tz.
 
.Ila cha kusema ukweli Ontario tunamshukuru kwa ku expose Forex kwa watu wengi hapa Tz.
images.jpg
 
Kwanza nikupe heko mkuu kwa kuanza kuwa consistency profitable trader..its not an easy task.

But kwa kuuona udhalimu wa TMT na kutosita kuuweka wazi, tuwasaidie wale newbie wasipite njia kama yetu sababu ukipita njia mbaya ni vyema ukawashtua wenzio ili nao wasipite njia hiyo.
 
Kitendo cha kuingizwa chaka kwa scam broker hiyo ni dalili tosha kuwa hiyo training haina vigezo vinavyokidhi kutoa mafunzo ya forex.

Kwasababu moja ya topics za forex ni kumsaidia mwanafunzi ajue yupi ni broker bora. Sasa kama mwanafunzi hakujua hilo;

1) Waendesha training ni PURE SCAMMER wakutupwa motoni kwa utapeli wa kutisha,au

2) Wanafunzi hawakupewa elimu bora wakaishia kupelekwa na kuchaguliwa broker bila ridhaa au uchambuzi wao kujua kama broker huyo ni mzuri au laaah.

Mwisho kabisa napenda kumshukuru sana Ontario kwani bila yeye nisingejua nini maana ya Forex. Ila narudia tena kumkumbusha kuwa apunguze dharau,majivuno,mikogo na kujiona. Sio kwamba nampakazia haya nisemayo nipo nae group moja la watsap anakwanza wengi kitambo sana ndio maana watu wengi wanamtupia matope kwa hili lililotokea. Ajirekebishe.
 
Hili fursa lingepata mtu genuine asie na makandokando kama ya Ontario sasa hivi humu JF wangetukoma but kwa vile tumehangukia mikononi mwa scammers poa tu let's learn the hard way that we didn't deserve it.

Kama kawa tunamshukuru kupata maneno mazuri ya kutuelewesha juu ya hii fursa but isiwe sababu ya kukutumia kama daraja kama tungekuwa na a mutual benefit in this business ingekuwa poa sana.
 
Mbona hayo yote uliyoyasema yalishaletwa na watu tofauti tofauti wakaweka hadi screenshot za malalamiko?

Sasa hivi watu wapo kwenye hatua ya lessons learned. Walishavuka hii stage kitambo sana. Kuna wakati ilikua hatupumui kwa nyuzi za Forex, mtifuano mithili ya ukanda wa gaza kama sio Syria Aleppo.
Kuna mmoja alijisifu anamiliki laptop sasa [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom