jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,329
Sasa mkuu gwiji gani unamjua wewe anatarget 30%-50% annual?,Hizo calculation za 5% kila siku sio realistic kabisa
Magwiji huwa wana target 30%-50% kwa mwaka, na miaka mingine huwa down zaidi ya 10%.
Ukisema 10% huyo mtu ana mtaji gani?
By the way wacha nikusaidie kitu hizo % ulizozitaja ni kwa ajili ya hedge funds
Naomba uchukue calculator halafu tafuta 5% ya 100 ambayo itakuwa kama tano tu
Sasa unatengeneza 5 leo then kesho capital yako itakuwa 105 unatengeneza tena 5% ya hiyo 105 utakayoipata ongeza iwe kama capita sasa naomba uende kwa siku 240
Hao hedge funds mitaji yao mikubwa anaweza kutengeneza 10 ila ikawa 500Million maana ana mtaji zaidi ya 5 b usd
Binafsi ninamjua mtu anayetoa 100 mpaka 5000 since january mpaka march sasa hebu niambie hiyo 5000 hawezi kuipeleka 10000 na 10000 hawezi kuipeleka 100000 na 100000 haiwezi kuwa million
Nimekujibu mara ya mwisho mkuu by the way nakwambia haya kwa sababu ninawafahamu watu wanaofanya hizi challenge
Kuna mwana mwingine alitoa ile bonus ya 30 ya XM mpaka 1000 kwa week mbili means 10 days sasa hebu jiulize huyo anashindwaje kuitoa hiyo kwenda Million
Forex its all about despline brother
Hili ni game la muda mrefu sio la siku tatu kama ONTARIO alivyotuaminisha before
Sitarudi tena kukujibu kama utakuwa na huu mjadala labda uje na kingine