Yaani ukiwa na tamaa mbaya huwezi kufika popote..yaani tapeli alikula 130,000/= zetu za ada hakuridhika. 130,000×200 kwa siku tano tu, jumla 26,000,000/= hii ni kwa single session ya wiki moja session zilikuwa kibao, bado kuna session nyingi hapa sijaweka VIP walikuwa na bei yao ya executive. Hizi zote hazikutosha.
Akala commission za IB link kisiri siri hakuridhika.
Akala hela ya 2 pips spread kisiri siri hakuridhika.
Akaanza na kutufanyia mtima nyongo kwa broker kwa kucheza na order zetu tuchezee kichapo ili wagawane commison na broker.
Na bado people hawaoni haya yote ukionyesha negative wanakuona snitch...mfumo wa elimu ubadilishwe bongo maana jamaa anatumia gap hili la elimu kutuanithi waswahili wenzie.