DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
DharauForex haifanywi na masikini kama wewe ambao hawatumii akili ya kawaida kabisa.
Unaambiwa usiweke stop loss na wewe huweki. Hivi umemaliza hata kusoma forex bible?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DharauForex haifanywi na masikini kama wewe ambao hawatumii akili ya kawaida kabisa.
Unaambiwa usiweke stop loss na wewe huweki. Hivi umemaliza hata kusoma forex bible?
Ahahaha!! Imebidi nicheke tu..we jamaa ni kiboko...eti j delicious. AhahahaOntario j.delicious
Forex haifanywi na masikini kama wewe ambao hawatumii akili ya kawaida kabisa.
Unaambiwa usiweke stop loss na wewe huweki. Hivi umemaliza hata kusoma forex bible?
Safi umeeleza vizuri mkuu!
Hivi mkuu kipindi kile ulisema forex inakulipa mamilioni kwa wiki ghafla ukaja kuomba ushauri unataka kukopa mil 4 afu uache kazi pale ilikuwaje mkuu?Tupe story kidogo tujifunzeDuke zima unakua na akili za kike.
Utavalishwa dera, ukiamua kusepa sepa acha kutushawishi wengine tuyafuate ma-buttocks yako kwa nyuma. Lengo lako nini. Kwamba wanaume wafuate nyuma yako huoni unatupa majaribu....
Nakuuliza wewe Spiritual ambaye namba yako ya cm ni {....}
Nimebutua kopo mkajifiche nyie bado mnamangamanga wakati ndo mshike mshike ndege tunduni.Duke zima unakua na akili za kike.
Utavalishwa dera, ukiamua kusepa sepa acha kutushawishi wengine tuyafuate ma-buttocks yako kwa nyuma. Lengo lako nini. Kwamba wanaume wafuate nyuma yako huoni unatupa majaribu....
Nakuuliza wewe Spiritual ambaye namba yako ya cm ni {....}
Hahah umefukua kaburi la zege mkuuDaah! Nimecheka sana mwanangu wa kijenge baada ya kusoma haya maoni ya wewe kutaka kuomba ushauri ukope milion 5 afu ukimbie kibarua. Wewe ni engineer kweli? Engineer anataka akope milion 5 akimbie Ahahaha!...yaani unaonyesha na wewe ni tapeli tu kama mzawa.
Tukutane kule kwmeye chama letu Barcelona tujadili soka tu maana una walakini mwanagu wa kijenge.View attachment 738633View attachment 738634View attachment 738635View attachment 738636View attachment 738637View attachment 738638
Yaani nimecheka hii alfajiri kwa sauti hadi nimeamsha watu.. Ahahaha!!Hahah umefukua kaburi la zege mkuu
Hahah daah asee ngoma za mwanamalundi noma sana,mshkaji hajawahi kujibu hilo swala la mamilioni ya forex vs kukopa 5mil afu asepe kazini nasubiri majibu yake hapa nione mkuu.,hahahYaani nimecheka hii alfajiri kwa sauti hadi nimeamsha watu.. Ahahaha!!
Nimefukua kaburi la Mwanamalundi hili.
Daah! Nae anajiita engineer.. Sijui ni wale mainjinia wa VETA? Kanichekesha sana huyu msukule mwenzangu.Hahah daah asee ngoma za mwanamalundi noma sana,mshkaji hajawahi kujibu hilo swala la mamilioni ya forex vs kukopa 5mil afu asepe kazini nasubiri majibu yake hapa nione mkuu.,hahah
Hahah mshikaji aliwekaga hadi vyeti vyake vya chuo full ma 1st class,Secondary huko ni ma div 1 mwanzo mwisho na ndipo nilipokuja kujua bwn mdogo wa TMT anatumia akili nyingi sana ku justify that forex is for elites.Daah! Nae anajiita engineer.. Sijui ni wale mainjinia wa VETA? Kanichekesha sana huyu msukule mwenzangu.
Engineer akope milion 5 asepe kibarua labda atakuwa fundi mchundo! Ahahaha!
Ahahaha!! Eti milion 5 tu hoi!!Hahah mshikaji aliwekaga hadi vyeti vyake vya chuo full ma 1st class,Secondary huko ni ma div 1 mwanzo mwisho na ndipo nilipokuja kujua bwn mdogo wa TMT anatumia akili nyingi sana ku justify that forex is for elites.
Na kuna watu kibao walikua motivated kuona mpk engineer wa ma 1class huko UD ana trade hahah kumbe mjomba 5mil tu ni hooooi.
Mkuu ukijua faida yangu itakusaidia nini mzee baba,
Unachotakiwa kujua je ni kweli forex ni real na unaweza kutengeneza pesa?
Ukishajua hapo baasi mambo mengine yanakuja
Suala la kutengeneza pesa hilo ni la mtu na mtu
Kuna watu wametengeza zaidi ya million(USD) kwa mtaji wa 100Usd
Na kuna watu wamepoteza pesa nyingi sana so ni wewe na discipline yako + patience
MKUU wala mm sio msukule wa ontario na cre wake na jpmarkerts wake maana niliacha kumtumia Jpmarkerts mwezi mmoja tu baada ya kuanza kutrade live na hata Cre alilijua hilo na nikamwambia kama anataka niendelee kutrade na jpmarkets basi wapunguze spread..akanitishia kunitoa kwa group nikamwambia anitoe. Baada ya mwezi zaidi nikajitoa mwenyewe baada ya kuona call zake hazina maana zaidi ya loss tu. Kwa hyo nilijitoa kwa group la TMT January mwaka huu. Kimsingi narudia tena Cre ni mweupe kwenye forex that all I can say...na kama uhamini we tafuta mentor mwingine mzuri...na endelea kutrade na jpmarkets na utapiga hela kama kawaida....hakuna cha B Booking wala nn ishu ni kwamba Cre ni gambler sio trader PERIOD.
Wote nyie ni misukule ya mentors,agents,etc...hata mlivyojitoa kwa hao akina tmt na jp,bado mtaenda kwa wengine,watawala tu ,hamna pa kuwakwepa...
Ishu ni kua mmetoka kwa huyu mkaenda kwa huyu...yaleyale!
Nyie ni watumwa,mnabadili slave masters tu