Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

Forex haifanywi na masikini kama wewe ambao hawatumii akili ya kawaida kabisa.

Unaambiwa usiweke stop loss na wewe huweki. Hivi umemaliza hata kusoma forex bible?


Mkuu achana na Huyo Jamaa atakuchosha Bure...kusema kweli ya Mungu Bavaria alituhasa sana Kuhusu kutumia stop loss...kuna msemo wake alikuwa anasema "kutotumia stop loss ni sawa na kutembea bila Viatu"

Kimsingi ni kwamba tulivoanza kutrade live tulikuwa hatutumii stop loss na hela tulipiga sana mwanzoni mwanzoni. Mm Mwenye nilipandisha $350 mpaka $2500 ndani ya week mbili tu. Nikatoa $600 nikabaki na 1900$. Nikapandisha tena ile 1900$ mpaka 2900$ ndani ya siku tank tu.. Nikatoa tena 900$. Baada ya hapo nikahama Kutoka jpmarkets baada ya kuna spread hazina Afya kwangu..nikahamia kwa broker mwingine ila nikawa bado natrade call za Cre..Kyle nikaweka 1000$ nikaipandisha kwa kusuasua sana mpaka 1400+$.. Mwezi wa kumi na mbili itatoka call ya EURUSD nadhani tmt member watakuwa wanaikumbuka ikazipurumua Zote..hapo ndo nilianza kumchukia Cre kwani alipomake hyo call ya sell EURUSD mm nilikuwa na trades za buy kwa hyo pea...nikamfuata privately nikamwambia mbona umesema sell wakati hii pea IPO kwenye uptrend???akaniambia I trade price action please sell and hold..nikatoka kwa trades zangu za buy ambazo zilikuwa blue nikaingia sell EURUSD..kitu kikaanza kuwa red...inazidi kupanda tu...nikamcheki tena Mkuu hii kitu vipi mbona inapaa tu...akaniambia hold..Duuu kilichokuja kutokea ni mm na Mungu wangu tunajua.

Ila kipindi hiki ndo Cre alikuwa amejitoa kwenye like group La BFG ambalo walimtuhumu kuiba analysis zao. Kuanzia December mwaka Jana TMT hakujawai kuwa na furaha tena...mkitengeneza hela siku mbili siku ya tatu Zote mnazirudisha sokoni na usipokuwa Makini na mtaji pia unakata...ukawa ndo mchezo huo. Sasa sijui mwanzoni Jamaa alituvutavuta kwanza ili tumuamini kutotumia stop loss halafu aje atupige baadae...Sijui...he inawezekana kweli ni mweupe na trades tunazokuwa tunafanya alikuwa anaiba analysis???inawezekana sana maana mwanzoni tulikuwa tunahold tradea sana (na Bfg wanasifika kwa kuswing) ila baada ya kusema kajitoa BFG yaani pips kumi tu unasikia guys please tp and stay out and wait for my next call...hyo next call ikija ni maumivu.....hahahahaaaaa....ngoja nicheke mie niongeze siku za kuishia...mweh!!!????
 
Safi umeeleza vizuri mkuu!


Duke zima unakua na akili za kike.
Utavalishwa dera, ukiamua kusepa sepa acha kutushawishi wengine tuyafuate ma-buttocks yako kwa nyuma. Lengo lako nini. Kwamba wanaume wafuate nyuma yako huoni unatupa majaribu....
Nakuuliza wewe Spiritual ambaye namba yako ya cm ni {....}
 
Duke zima unakua na akili za kike.
Utavalishwa dera, ukiamua kusepa sepa acha kutushawishi wengine tuyafuate ma-buttocks yako kwa nyuma. Lengo lako nini. Kwamba wanaume wafuate nyuma yako huoni unatupa majaribu....
Nakuuliza wewe Spiritual ambaye namba yako ya cm ni {....}
Hivi mkuu kipindi kile ulisema forex inakulipa mamilioni kwa wiki ghafla ukaja kuomba ushauri unataka kukopa mil 4 afu uache kazi pale ilikuwaje mkuu?Tupe story kidogo tujifunze
 
Duke zima unakua na akili za kike.
Utavalishwa dera, ukiamua kusepa sepa acha kutushawishi wengine tuyafuate ma-buttocks yako kwa nyuma. Lengo lako nini. Kwamba wanaume wafuate nyuma yako huoni unatupa majaribu....
Nakuuliza wewe Spiritual ambaye namba yako ya cm ni {....}
Nimebutua kopo mkajifiche nyie bado mnamangamanga wakati ndo mshike mshike ndege tunduni.

Ila Daah! Nimecheka sana mwanangu wa kijenge baada ya kusoma haya maoni ya wewe kutaka kuomba ushauri ukope milion 5 afu ukimbie kibarua. Wewe ni engineer kweli? Engineer anataka akope milion 5 akimbie Ahahaha!...yaani unaonyesha na wewe ni tapeli tu kama mzawa.

Tukutane kule kwmeye chama letu Barcelona tujadili soka tu maana una walakini mwanagu wa kijenge.
Screenshot_2018-04-09-04-51-38.jpg
Screenshot_2018-04-09-04-51-48.jpg
Screenshot_2018-04-09-04-54-37.jpg
Screenshot_2018-04-09-04-55-12.jpg
Screenshot_2018-04-09-04-55-34.jpg
Screenshot_2018-04-09-04-56-22.jpg
 
Daah! Nimecheka sana mwanangu wa kijenge baada ya kusoma haya maoni ya wewe kutaka kuomba ushauri ukope milion 5 afu ukimbie kibarua. Wewe ni engineer kweli? Engineer anataka akope milion 5 akimbie Ahahaha!...yaani unaonyesha na wewe ni tapeli tu kama mzawa.

Tukutane kule kwmeye chama letu Barcelona tujadili soka tu maana una walakini mwanagu wa kijenge.View attachment 738633View attachment 738634View attachment 738635View attachment 738636View attachment 738637View attachment 738638
Hahah umefukua kaburi la zege mkuu
 
Yaani nimecheka hii alfajiri kwa sauti hadi nimeamsha watu.. Ahahaha!!

Nimefukua kaburi la Mwanamalundi hili.
Hahah daah asee ngoma za mwanamalundi noma sana,mshkaji hajawahi kujibu hilo swala la mamilioni ya forex vs kukopa 5mil afu asepe kazini nasubiri majibu yake hapa nione mkuu.,hahah
 
Huyu kanichekesha hapo aliposema "wewe ni wa kukata makofi..mshenzi wewe" afu kwmeye avatar ya hiyo njemba kuna Mwela kakamata MTU Tanganyika jeki..asee nimecheka sana. Ahahaha

Hii hapa!
Screenshot_2018-04-09-04-55-12.jpg
 
Hahah daah asee ngoma za mwanamalundi noma sana,mshkaji hajawahi kujibu hilo swala la mamilioni ya forex vs kukopa 5mil afu asepe kazini nasubiri majibu yake hapa nione mkuu.,hahah
Daah! Nae anajiita engineer.. Sijui ni wale mainjinia wa VETA? Kanichekesha sana huyu msukule mwenzangu.

Engineer akope milion 5 asepe kibarua labda atakuwa fundi mchundo! Ahahaha!
 
Daah! Nae anajiita engineer.. Sijui ni wale mainjinia wa VETA? Kanichekesha sana huyu msukule mwenzangu.

Engineer akope milion 5 asepe kibarua labda atakuwa fundi mchundo! Ahahaha!
Hahah mshikaji aliwekaga hadi vyeti vyake vya chuo full ma 1st class,Secondary huko ni ma div 1 mwanzo mwisho na ndipo nilipokuja kujua bwn mdogo wa TMT anatumia akili nyingi sana ku justify that forex is for elites.

Na kuna watu kibao walikua motivated kuona mpk engineer wa ma 1class huko UD ana trade hahah kumbe mjomba 5mil tu ni hooooi.
 
Hahah mshikaji aliwekaga hadi vyeti vyake vya chuo full ma 1st class,Secondary huko ni ma div 1 mwanzo mwisho na ndipo nilipokuja kujua bwn mdogo wa TMT anatumia akili nyingi sana ku justify that forex is for elites.

Na kuna watu kibao walikua motivated kuona mpk engineer wa ma 1class huko UD ana trade hahah kumbe mjomba 5mil tu ni hooooi.
Ahahaha!! Eti milion 5 tu hoi!!

Jamaa kadhalilisha sana UDSM na wote waliosoma special schools maana reasoning yake ni fupi kama maisha ya funza vile..! Hadi nasita kuamini kama vile vyeti ni vyake maana hata Mimi wa shule ya kata Nina haueni kubwa kwenye logic and reasoning ability.

Niko nae kule huwa ni mashabiki wa Barcelona wote lakini jamaa kichwani ni upupu anaishiaga tu kutukana matusi ya nguoni watu only hana reasoning wala argument ability.. He is hopeless and depressed... Na hivi kapunwa mkwanja ndo anataka akope milion 5 akatrade...bro! Forex inasema hivi kwenye disclaimer don't trade money you can't afford to lose as Forex carry high risk of losing your entire capital. You have been warned. Huna kazi Milion tano ikikaa sana ni wiki tatu..wiki ya nne ushapunwa maana bado newbie....utanitafuta nikupeleke kwa wahindi wanaponunua figo na mapumbu kwa milion 10 each ila Mimi nitakulangua kwa milion 5 tu...najua utatoa mapumbu maana hutakuwa na kazi nayo tena sababu hata baby lazma akukimbie kwa ukata so yatakuwa mzigo tu bru!...Ahahaha!

Deuce Nigga.
 
Wakileta UKAIDI wapigwe tu, na mimi nasema WAPIGWEEEEE....

Wakati tunawaonya mlitukejeli......

wengine mmeuza ASSETS za watoto, n.k.

Mchuma janga hula na wakwao
 
Mkuu ukijua faida yangu itakusaidia nini mzee baba,

Unachotakiwa kujua je ni kweli forex ni real na unaweza kutengeneza pesa?

Ukishajua hapo baasi mambo mengine yanakuja

Suala la kutengeneza pesa hilo ni la mtu na mtu

Kuna watu wametengeza zaidi ya million(USD) kwa mtaji wa 100Usd

Na kuna watu wamepoteza pesa nyingi sana so ni wewe na discipline yako + patience


Jibu swali
 
MKUU wala mm sio msukule wa ontario na cre wake na jpmarkerts wake maana niliacha kumtumia Jpmarkerts mwezi mmoja tu baada ya kuanza kutrade live na hata Cre alilijua hilo na nikamwambia kama anataka niendelee kutrade na jpmarkets basi wapunguze spread..akanitishia kunitoa kwa group nikamwambia anitoe. Baada ya mwezi zaidi nikajitoa mwenyewe baada ya kuona call zake hazina maana zaidi ya loss tu. Kwa hyo nilijitoa kwa group la TMT January mwaka huu. Kimsingi narudia tena Cre ni mweupe kwenye forex that all I can say...na kama uhamini we tafuta mentor mwingine mzuri...na endelea kutrade na jpmarkets na utapiga hela kama kawaida....hakuna cha B Booking wala nn ishu ni kwamba Cre ni gambler sio trader PERIOD.


Wote nyie ni misukule ya mentors,agents,etc...hata mlivyojitoa kwa hao akina tmt na jp,bado mtaenda kwa wengine,watawala tu ,hamna pa kuwakwepa...

Ishu ni kua mmetoka kwa huyu mkaenda kwa huyu...yaleyale!

Nyie ni watumwa,mnabadili slave masters tu
 
Back
Top Bottom