Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana.Mkuu achana na Huyo Jamaa atakuchosha Bure...kusema kweli ya Mungu Bavaria alituhasa sana Kuhusu kutumia stop loss...kuna msemo wake alikuwa anasema "kutotumia stop loss ni sawa na kutembea bila Viatu"
Kimsingi ni kwamba tulivoanza kutrade live tulikuwa hatutumii stop loss na hela tulipiga sana mwanzoni mwanzoni. Mm Mwenye nilipandisha $350 mpaka $2500 ndani ya week mbili tu. Nikatoa $600 nikabaki na 1900$. Nikapandisha tena ile 1900$ mpaka 2900$ ndani ya siku tank tu.. Nikatoa tena 900$. Baada ya hapo nikahama Kutoka jpmarkets baada ya kuna spread hazina Afya kwangu..nikahamia kwa broker mwingine ila nikawa bado natrade call za Cre..Kyle nikaweka 1000$ nikaipandisha kwa kusuasua sana mpaka 1400+$.. Mwezi wa kumi na mbili itatoka call ya EURUSD nadhani tmt member watakuwa wanaikumbuka ikazipurumua Zote..hapo ndo nilianza kumchukia Cre kwani alipomake hyo call ya sell EURUSD mm nilikuwa na trades za buy kwa hyo pea...nikamfuata privately nikamwambia mbona umesema sell wakati hii pea IPO kwenye uptrend???akaniambia I trade price action please sell and hold..nikatoka kwa trades zangu za buy ambazo zilikuwa blue nikaingia sell EURUSD..kitu kikaanza kuwa red...inazidi kupanda tu...nikamcheki tena Mkuu hii kitu vipi mbona inapaa tu...akaniambia hold..Duuu kilichokuja kutokea ni mm na Mungu wangu tunajua.
Ila kipindi hiki ndo Cre alikuwa amejitoa kwenye like group La BFG ambalo walimtuhumu kuiba analysis zao. Kuanzia December mwaka Jana TMT hakujawai kuwa na furaha tena...mkitengeneza hela siku mbili siku ya tatu Zote mnazirudisha sokoni na usipokuwa Makini na mtaji pia unakata...ukawa ndo mchezo huo. Sasa sijui mwanzoni Jamaa alituvutavuta kwanza ili tumuamini kutotumia stop loss halafu aje atupige baadae...Sijui...he inawezekana kweli ni mweupe na trades tunazokuwa tunafanya alikuwa anaiba analysis???inawezekana sana maana mwanzoni tulikuwa tunahold tradea sana (na Bfg wanasifika kwa kuswing) ila baada ya kusema kajitoa BFG yaani pips kumi tu unasikia guys please tp and stay out and wait for my next call...hyo next call ikija ni maumivu.....hahahahaaaaa....ngoja nicheke mie niongeze siku za kuishia...mweh!!!????
Forex haina ujanja, acheni kudanganya watu..
Forex is gambling, na duniani hakuna Insurance kwenye gambling business..
If you want to be rich, u need to sell goods or services, full stop.
Matajiri wote duniani na wote wenye maisha mazuri wana bidhaa au huduma wanaipeleka sokoni.
Forex haina tofauti yeyote na betting.
Pole sana.
Jipongeze pamoja na mtaji uliouanzia umetengeneza pesa na nyingine umeshazitumia.
Ukifungua ule uzi ukisoma mwanzo mpaka mwisho watu wengi walipewa warnings za mwanzoni kabisa tena na huyohuyo Ontario.
Ule uzi ulieleza mengi sana ikiwa na experiences za mtu mmojammoja.
Ila cha ajabu kwenye ule uzi, mtu hajamaliza hata pages 20 za kitabu chochote, anafungua demo account anaanza kutrade. Hapo unategemea nini?
Shida yetu watanzania wengi ni kutotumia 'reasoning' ya vitu vya kawaida kabisa. Tunapenda hela za harakaharaka ila kuziteseka hatutaki. Mfano unasikia mambo ya kitapeli yanaletwa kila siku watu wanapigwa na hawakomi. Anzia kwenye Desi, Sungura nk.
Sipendi mtu anayefanya makosa halafu anahamishia lawama kwa mwingine kana kwamba dhamana ya kufikiri na kuhoji sio yake ila huyo mwingine. Sijui anapata mamlaka yapi ya kusema nlitakiwa niwaonye wakati kwenye ule uzi kila mtu alionywa toka mwanzo mwisho.
Unaambiwa usitumie stop loss na hutumii, unaambiwa lazima utumie broker huyu unafuata, unapewa training hapohapo unategemea kuishi kwa signals. Kwa mtu mwenye akili ya kudadisi lazima ahisi kitu aanze kujitegemea mwenyewe.
Ndio maana nikasema, forex is not for everyone. Inahitaji practice, readings kwa muda mrefu hadi uwe intependent.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hizo comment za wadau hatari aiseeNimebutua kopo mkajifiche nyie bado mnamangamanga wakati ndo mshike mshike ndege tunduni.
Ila Daah! Nimecheka sana mwanangu wa kijenge baada ya kusoma haya maoni ya wewe kutaka kuomba ushauri ukope milion 5 afu ukimbie kibarua. Wewe ni engineer kweli? Engineer anataka akope milion 5 akimbie Ahahaha!...yaani unaonyesha na wewe ni tapeli tu kama mzawa.
Tukutane kule kwmeye chama letu Barcelona tujadili soka tu maana una walakini mwanagu wa kijenge.View attachment 738633View attachment 738634View attachment 738635View attachment 738636View attachment 738637View attachment 738638
Atakuwa alitrade crypto currency huyu...nidhamu, uvumilivu ndio msingishure mkuu umeona mapungufu yake 1800usd in 10hrs? tooo far san hyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha ha ha ha!! Everything I do I do it for you babe nilitaka nije nikushangaze..bahati mbaya nimeshangazwa Mimi.
Ha haha we baki na tunguri zako banaAt the peak ya haya mambo niliandika mada ya uchambuzi kuhusu forex.. Sikuwa na upande bali niliandika kama uchambuzi... Dah siisahau ile mada niliandamwa mno huku nikiambiwa najua nini ni afadhali nibaki na matunguli yangu mambo ya forex niwaachie wajuzi... Mwishowe mada ikawa executed...! Sikukubali nikapambana mpaka ikarudishwa... Wale ndugu sio nao ni wahanga!?
Hebu unifundishe namie mdogo mdogo mwayaForex ni halali na bado ina potential ya kukupa hela nzuri kama hauna tamaa. Mimi bado nafanya Forex sema naamini nimeiva kiasi cha kuifanya mwenyewe bila kuteteleka na hata nikiwa na mtu akianza utapeli nang'amua maana nina kitu muhimu ambacho ni knowledge na experience. Na hii imenichukua muda, haiji haraka haraka. It takes time of hard work, continues learning process, and strong determination.
Mbaya ni matapeli tu Lakini fursa mbona ni potential sana kukupa hela ambayo sio easy maana lazma ujue kutafsiri chart and graph..ukijua hilo..you are good.
Unapopewa wazo la kibiashara inabidi nawewe uliweke kwenye mizani, kwahio na mimi nilifanya hivyo hivyo nikagundua I'm not smart enough for that thing called Forex business.
NuktaMkopo hauna Insurance?
Mjinga wa mwisho.. sijasomeshwa na serikali yenu kuanzia primary mpaka namaliza elimu yangu.. Sijawahi kuajiriwa na serikali yako pia..
Mbona mnakuza mambo? Hata viatu?Nimeviona viatu vya huyo kaka inawezekana ni michango yenu.
Huwa nacheka sana nikisoma hizi statements 'Forex is not for everyone'.....'Forex is not for you'I'm sorry for your loss.
How on earth do you think you can be a profitable trader in a 5 days training?
Forex is not for you. Kafanye mengine.
Huyo ndo huyo dogo Ontario??Nimeviona viatu vya huyo kaka inawezekana ni michango yenu.
How often do you want to investigate?Listen, if I were you I’d quietly explore my legal options first before I come here and throw accusations.