Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

Kuna broker kibao wanatoa demo for just free.. Tafuta demo jibrush hata miezi sita.. Ubongo una tabia ya kuadapt..utakuwa vizuri ukinipata hata Mimi nakufundisha hata bure tu kizalendo then unaendelea na hamsini zako. Its good ukiijua hii business.

Wanakupa dola hata 3000 ambazo ni non withdrawal.. Ni za kupigia jalamba tu. Hii ni Bonge la opportunity sema Ontario katutumia tu kama ngazi na kaharibu reputation yake.
Mkuu ntakuchek PM
 
Nilikua sijakuona tu Mkuu wangu,
Uko vyema sana,
Kuna topic moja ya Kilimo cha Drip Irrigation uliishusha niliikubali mno
Tuko tunalitumikia taifa mkuu,ndio maana huku tuko mara chache!!

Everything is well!! Nadhani sasa "ushaniona kwenye hii mada" kama ulivyotanabaisha kwenye comment yako ya awali!!
 
Back
Top Bottom