Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
- Thread starter
- #881
Mkuu umegeuza Uzi wangu kuwa pango la walanguzi, wezi na wanyang'anyi?Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.
Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.
Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura na namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker.
Usisite kuomba msaada !!
JISAJILI SASA
TemplerFX | Promo
Huu ni utapeli nao kumuadress mtu kwenda kwa wrong broker ili wewe upate Introduction Broker commission.
Usirudie tena!