Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura na namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker.

Usisite kuomba msaada !!

JISAJILI SASA

TemplerFX | Promo
Mkuu umegeuza Uzi wangu kuwa pango la walanguzi, wezi na wanyang'anyi?

Huu ni utapeli nao kumuadress mtu kwenda kwa wrong broker ili wewe upate Introduction Broker commission.

Usirudie tena!
 
Nani aliyekuibia mkuu ? mbona povu Jingi ndugu.

Templerfx ndie broker rafiki kwa mazingira ya sasa hivi, mimi mwenyewe ndie namtumia
 
Huyo nae hapaswi kupewa jina lingine zaidi ya tapeli tu...sababu kati ya mabroker vichomi na huyu yumo. Huyu Broker katulogea Kwenye mpesa tu ila kihuduma ni mbovu sana hacheleweshi kukutumia marginal call.

Trader asiyejiamini mwisho wa siku lazima atamlaumu Broker Tu,
 
Nani aliyekuibia mkuu ? mbona povu Jingi ndugu.

Templerfx ndie broker rafiki kwa mazingira ya sasa hivi, mimi mwenyewe ndie namtumia
Si ungeanzisha Uzi wako ukifafanua Broker mzuri ni yupi? Kuja hapa kuweka link na maelezo ya kuvutia tu bila kutoa Do and Donts za broker husika mimi natafsiri kama utapeli tu.
 
Mkuu niliku pm, Fanya tuyajenge
 
still demo flex

tarehe kumi na kumi na moja
yyyy.JPG
 
Candlesticks don't lie, withdrawals till a bank taller get amazed with your every week route to bank

Patience patience
IMG_20180411_131455_687.jpg
 
Pole sana mkuu. Kwanza mimi nimshukuru Ontario kwa kunipa mwanga zaidi juu ya Forex. Tangu nilipoisikia hii nilianza kujisomea mwenye. Kitu cha kwanza nilianza kujifunza ni 1. Kwanini watu kwanini watu wengi wanapata hasara. Hapa nilimsikiliza sana bwana Adam Khoo. Kisha nikanunua kaunta book size 4, kila siku napata masaa 2-muda ukiruhusu-nasoma topic by topic. Last week nimemaliza online lecture ya Adam khoo. Nimesoma topics 11. Next week naanza na ctraders. Kisha nitaanza 'kutrade seriously'. Vision yangu ni kutumia miez 3 ya kujisomea exhaustively--asante kwa Youtube!.

'Sijatrade seriously' hata siku 1 but muhimu nimejifunza haya.

1. Forex si utapeli ni biashara halali na halis.

2. Brokers na Trainers ndio matapeli-si wote.

3. Kujielimimisha.
Ni biashara inayohitaji ujisomee sana. Kila siku ujielimishe.

4. Tamaa.
Hii ni biashara inayohitaji traders uvumilivu na kuweka tamaa pembeni. Lenga faida 'inayowezekana'.

5. Wekeza ulichotayari kukipoteza.

6. Zingatia kanuni za msingi za biashara.

Kama umewekeza laki 5, ikagenerate laki 1. Hiyo laki 1 iwe imeongeza mtaji. Inatakiwa iwe ni pesa inayojizungusha na kujizalisha yenyewe. Linda mtaji.

Nb 'dont trust anything which is too good to be true'
 
Perfect analysis!

Umeeleza vizuri kwa ufupi kabisa mkuu.

I'm humbled!
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura na namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker.

JISAJILI SASA

TemplerFX | Promo
we na matangazo yako unazengu sana kausha
 
mimi najishukuru mwenyewe ila namshukuru sana sandile shenzi maana nilikuwa namuangalia lakini niikuwa siju anafanya nini ila baadae nikaja kukaa chini na kufatilia forex hapo ndo safari ilianza hadi leo nimekuja kuona uzi wa ontario nimesha kuwa mwelewa wa 80% nikataka siku niende baada ya kuona watu wana piga pesa ila niliacha baada ya kupiga dollar mia kwa news ya nfp maana nilijilipua nikaona maisha mbona matamu sana uliza kilicho nikutaaa .....continue
We are waiting
 
Back
Top Bottom