Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

Mkuu sio ya kucheka haya! Tafadhali tupe hata pole tu inatosha.
You are right buddy kiukweli sio ya kucheka coz cha kwanza tunatakiwa kujua life is a game of chance,You play good yo win,You play bad you loose,na wazungu wanakwambiaYOU WILL NEVER ALWAYS FAIL UNLESS YOU STOP TRYING.Tunachoshindwa kuelewa watz ni kuwa,kila mtu humu ni fursa ya mwingine na kamwe hatuwezi kuepuka kuwa fursa hata siku moja na kama ingekuwa hivyo basi maisha yasingekuwepo maana Bakhressa angemuuzia nani bidhaa zake??Kule ng'ambo anakonunua Tani na matani ya ngano kama yeye sio fursa wangemuuzia nani??hiyo mi mifano michache tu kuwa sisi sote ni fursa hilo halipingiki.
Kucheza na uaminifu wa watu kwako ni hasara kubwa kuliko hata kupoteza matrilioni ya pesa so huyo Ontario basi kapoteza zaidi ya pesa ila cha kushukuru mmepata kujua njia iliyowapoteza hivyo mtakuwa makini sasa kuitafuta njia sahihi na pengine mmeshaijua so SONGA MBELE BRO hasara roho tu km ni pesa inatafutwa.
 
Katika maisha nilishakinyima chance kitu kinachoitwa uoga,Binafsi bado Nina kiamini hiki kitu forex japo sikijui na sina idea nacho but ktk list ya vitu ambavyo lazima nije kuvifanya inshaallah ni pamoja na hiki sema siku zote nikifuatilia nyuzi za forex huwa zina malumbano ya Hoja kila mtu akiwa mtaalamu ila lililo la msingi kweli kwanza ni kuanza kujisomea ili kupata knowledge ndipo uanze kufikiria kuanza,shukrani ziwaendee wale wote watoao maelekezo yasiyopotosha ila kwa wale wapingaji wa kila linaloonekana lina faida kisa tu hawapendi kuwa fursa basi si vyema kuwa wapingaji wa kilakitu as long wengine hawana elimu ya hivyo wanavyovipinga.
 
Katika maisha nilishakinyima chance kitu kinachoitwa uoga,Binafsi bado Nina kiamini hiki kitu forex japo sikijui na sina idea nacho but ktk list ya vitu ambavyo lazima nije kuvifanya inshaallah ni pamoja na hiki sema siku zote nikifuatilia nyuzi za forex huwa zina malumbano ya Hoja kila mtu akiwa mtaalamu ila lililo la msingi kweli kwanza ni kuanza kujisomea ili kupata knowledge ndipo uanze kufikiria kuanza,shukrani ziwaendee wale wote watoao maelekezo yasiyopotosha ila kwa wale wapingaji wa kila linaloonekana lina faida kisa tu hawapendi kuwa fursa basi si vyema kuwa wapingaji wa kilakitu as long wengine hawana elimu ya hivyo wanavyovipinga.
Kwani sasa hivi kinacho kukwamisha kipi kuingia katika ulimwengu wa download pesa?
 
Pole sana mkuu. Kwanza mimi nimshukuru Ontario kwa kunipa mwanga zaidi juu ya Forex. Tangu nilipoisikia hii nilianza kujisomea mwenye. Kitu cha kwanza nilianza kujifunza ni 1. Kwanini watu kwanini watu wengi wanapata hasara. Hapa nilimsikiliza sana bwana Adam Khoo. Kisha nikanunua kaunta book size 4, kila siku napata masaa 2-muda ukiruhusu-nasoma topic by topic. Last week nimemaliza online lecture ya Adam khoo. Nimesoma topics 11. Next week naanza na ctraders. Kisha nitaanza 'kutrade seriously'. Vision yangu ni kutumia miez 3 ya kujisomea exhaustively--asante kwa Youtube!.

'Sijatrade seriously' hata siku 1 but muhimu nimejifunza haya.

1. Forex si utapeli ni biashara halali na halis.

2. Brokers na Trainers ndio matapeli-si wote.

3. Kujielimimisha.
Ni biashara inayohitaji ujisomee sana. Kila siku ujielimishe.

4. Tamaa.
Hii ni biashara inayohitaji traders uvumilivu na kuweka tamaa pembeni. Lenga faida 'inayowezekana'.

5. Wekeza ulichotayari kukipoteza.

6. Zingatia kanuni za msingi za biashara.

Kama umewekeza laki 5, ikagenerate laki 1. Hiyo laki 1 iwe imeongeza mtaji. Inatakiwa iwe ni pesa inayojizungusha na kujizalisha yenyewe. Linda mtaji.

Nb 'dont trust anything which is too good to be true'
Adam Khoo mwalimu wangu huyo... Nina video zake 49 , asante sana adam sio kama hawa matapeli wa bongo
 
Ukiwa mkweli na muwazi sifa zako zitavuma tu the same ukiwa tapeli lazma zivume.

Simjui huyu but inaonekana yuko genuine.
Yah. Anaeleweka sana, binafsi nilimuelewa sana hasa mada ya kwanini watu wengi wanapata hasara kwenye forex na wanakosa consistency ya biashara.
 
Shehe hakuna
Me nashangaa mtu kusema namshukuru Ontario kwa kuleta forex dahhh yaan unamshukuru tapel wa kimataifa aliyewapiga vijana maskin na wazee wenye mlo mmoja kwa siku. . Hii dhambi lazm imtafune huyu Dogo.. machoz ya wanyonge hayawez potea hiv hiv....
Shehe hakuna mtu mwenye mabaya tu au mazuri tu. Kila binadamu including wewe ana mazuri na mabaya yake. So kama kuna jambo zuri kalifanya anastahili kupongezwa japo kwa hilo! Don't be conservative or hard on others!
 
Kama kuna kiumbe aina ya binadamu kinaona forex haieleweki naomba aende kwa adam khoo, asipoelewa naomba aachane na forex akalime nyanya huko kisiju.


Mh Daudi naweza pata hzo video za Adam tafadhali???
 
Back
Top Bottom