AbaMukulu
JF-Expert Member
- Jan 1, 2018
- 2,053
- 3,586
Kama alivyopotea JFLazima Jeff apotee[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kutafuta ugomvi na kigogo Ni hatari kwa afya yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama alivyopotea JFLazima Jeff apotee[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kutafuta ugomvi na kigogo Ni hatari kwa afya yako
huyu kijana anatafuta balaa mtu anasumbuana na serikali ya magufuli anaiba siri za ndani kabisa yeye shauri yakeAnakula sahani moja na kigogo huko tweeter
Sababu ontario kabadilisha Jina na sasa anapiga kupitia twitterMbona kigogo anarudia Mambo ya zamani mi nilijua ana jipya
Hajabadili jina, lile ndio jina lakeSababu ontario kabadilisha Jina na sasa anapiga kupitia twitter
SanaKibaka ni kibaka tu
Kashindwa tayariIla jamaa wa forex kaanza mitusi toka juzi kwa IT leo katumwa na serikali kumchokonoa kigogo sijui kama hii vita sirJeff atashinda
Kashindwa saiv anatwiti maneno ya kujipa moyoLazima Jeff apotee[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kutafuta ugomvi na kigogo Ni hatari kwa afya yako
Nimeona umeshinda laki jamaa huko twitaniHajabadili jina, lile ndio jina lake
[emoji23][emoji23] yes, nilibahatikaNimeona umeshinda laki jamaa huko twitani
Sasa nitumie muamala na mimi nibahatike [emoji23][emoji23][emoji23] yes, nilibahatika
Jamaa unatafuta umaarufu sana alafu twitter huna hata fanbase.Asee. [emoji16]
hahahaha hayaSasa nitumie muamala na mimi nibahatike [emoji23]
Ni kweli Sina fanbase Twitter Ni mgeni kule sababu sikuwa nikitumia Twitter before.Jamaa unatafuta umaarufu sana alafu twitter huna hata fanbase.
UnaPush msuri tembo matokeo nzi.
Sahihi kabisa.. ukiwa na knowledge na skills za kutosha ni biashara kubwa na nzuri Duniani.Humble African..niliona comment yako jana twitter juu ya uzoefu wako wa kufanya hii biashara ni wazi Huyu Jeff alikua bado hajaijua na kwa ile mikataba uliyoweka kuhusu kutapeliwa na hawa jamaa ni dhahiri hii biashara ni nzuri ila makanjanja kama hawa kina Jeff ndio wanaiharibu!