Account 5 * 1000$ then unatoa 3500$/month....soon you will be a billionaire 🤣 🤣 🤣 🤣😂 usitusahau bossHold
kwa wiki nilikuwa nalaza $250, ko ndani ya miezi 3 nilikua na AC 5 za $1,000, ambazo nilitoa $3,500 avarage kila mwezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Account 5 * 1000$ then unatoa 3500$/month....soon you will be a billionaire 🤣 🤣 🤣 🤣😂 usitusahau bossHold
kwa wiki nilikuwa nalaza $250, ko ndani ya miezi 3 nilikua na AC 5 za $1,000, ambazo nilitoa $3,500 avarage kila mwezi
Account 5 * 1000$ then unatoa 3500$/month....soon you will be a billionaire 🤣 🤣 🤣 🤣😂 usitusahau boss
Cheka kwasababu unajicheka mwenyewe, na hujui lolotee
Na suti zake kama anataka kupaa, jamaa ana maneno matamu sana.Jamaa anahama hama mitandao 😅😅😅 akimaliza atahamia telegram awagongelee nyundo vizuri! Anapiga picha kwenye hoteli kali kali
Forex sio sawa na kikoba cha hapo mtaani kwako.Jamani nani aniunganishe huko forex nami nataka utajiri..
Nafahamiu..Forex sio sawa na kikoba cha hapo mtaani kwako.
Sasa kama unafahamu kuwa forex sio kikoba, kwanini unataka kuunganishwa?Nafahamiu..
Vp umeshaliwa senti ngapi,,?!
Mkuu mbna povu ushaliwa nini huko?! Maana hao matajiri wa forex kwa vizinga vya bia ndio wenyeweSasa kama unafahamu kuwa forex sio kikoba, kwanini unataka kuunganishwa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu mbna povu ushaliwa nini huko?! Maana hao matajiri wa forex kwa vizinga vya bia ndio wenyewe
Wahenga hawajawahi kukosea katika huu muktadha.Wahenga humu walituhasa kwamba ukiitwa kwenye fursa tafakari mara mbili yaweza kuwa wewe ndio fursa.
Jamaa aliwaingizq watu kwenye mikopo umizaNa suti zake kama anataka kupaa, jamaa ana maneno matamu sana.