Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Daah mkuu wewe unaweza kuandika kitu ambacho mimi siwezi. Story yako haina tofauti sana na ya kwangu hasa suala la kuzidiana umri. Nilikutana na huyu mwanamke nikiwa chuo yeye akiwa mfanyakazi ameniacha miaka 9 ila hayo mapenzi tulikua kama watoto. Daah kiukweli umenikumbusha mengi sana na sasa hivi hatupo tena huko japo yeye bado haja move ila kwa ubishi na hasira tunaforce tutoke huko.
Hawa watu wanajua ku encourage, wanajua kupet, wanajua mwanaume unataka nini na mwisho wa siku unapewa penzi zito kilo 150. Kila unachoelezea nilikua napata flashback miaka kadhaa nyuma mambo yalivyokuaga.