Hivi ndivyo tunavocheat, palipo na viatu vya muwewe kuna ndala zangu

Hivi ndivyo tunavocheat, palipo na viatu vya muwewe kuna ndala zangu

Mkuu nilishawahi jaribu kuandika nikajikuta nashindwa tu. Hata uwasilishaji wangu wa mada/thread hapa jukwaani huwa napata shida sana.
Jitahidi hivyo hivyo sisi tutaelewa tyuu.!!
Kuna mmoja aliweka story haieleweki ila ina maudhui ya ngono mbona raia walimiminika sehemu wasizoelewa wana-edit wenyewe vichwani mwao 😹😹😹😹
 
ILa wake za watu.

Kuna mmoja isingekuwa mimi kuhairisha , ningevunja nae Amri.

Alikuwa ananizidi miaka 9 au 8 hivi.
anaaga anaenda ukweni then akiwa anataka kurudi apitie gheto, namkwepa.
Tunapanga kabisa tukutane hoteli, muda ukifika moyo unasita nahairisha.

Baadae nikaona ujinga huu, nikampiga chini bila kumla hata mara moja.
 
ILa wake za watu.

Kuna mmoja isingekuwa mimi kuhairisha , ningevunja nae Amri.

Alikuwa ananizidi miaka 9 au 8 hivi.
anaaga anaenda ukweni then akiwa anataka kurudi apitie gheto, namkwepa.
Tunapanga kabisa tukutane hoteli, muda ukifika moyo unasita nahairisha.

Baadae nikaona ujinga huu, nikampiga chini bila kumla hata mara moja.
Unatufanya sisi watoto?!! 😹😹
Umechana page irudishie humu hakuna wa kukuchapa mkuu 🤣
 
BONUS EPISODE


HIVI NDIVYO TUNAVOCHEAT, PALIPO NA VIATU VYA MUMEWE KUNA NDALA ZANGU story ya kweli kati yangu Hovering na Recho ambaye ni mke halali wa mtu. Nimeileta kwenu kama sehemu ya kuonesha nini kinatokea linapokuja suala la kutoka nje ya Ndoa iwe kwa maksudi au bahati mbaya.

Kama ilivyo kwa wengi ambao tukisoma habari za uchawi tunahisi ni uongo au kuchanganyikiwa kwa mtu mpaka likukute, ndivo ilivo katika mapenzi ya aina hii. Wengi hushindwa kuamini habari za fulani ana chepuka na fulani mpaka tukio la kufumaniwa/kufumania likukute.

Andiko langu halichochei wala kuchagiza ukosefu wa uadilifu kwenye mahusiano halali hapana. Nimetoa picha kwa uchache namna mambo yanavyokua walau kwa kusoma tu upate ABC, Mimi nikiwa kama muhusika mkuu.

Kupitia 'comments' nimeona watu wakitoa hisia zao na mawazo yao kila mtu kulinga na alivyoitafsiri stori na hii inatoa picha halisi jinsi gani haya mambo ni kweli yanatokea katika jamii na yanatugusa.

Bwana mmoja nimuhifadhi ID yake naona nilimgusa kiasi cha kunitishia nisiendee na kisa. Wapo waliofurahi na kutamani stori iendelee. Haya yote nimeyapokea.

Na hii sasa ndio imenishawishi kuongeza kipande hiki walau nizungumze na makundi makubwa matatu. Mosi ni sisi vijana. Pili, wanawake waliopo ndani ya mahusiano hususa ni ndoa, uchumba nk na mwisho nimalize na sisi wa baba/watu wazima tulioa au lah.

Karibu sana tuzungumze kupitia kundi lako.

Vijana

Imekuwa ni kawaida kabisa kukuta vijana wa umri kati ya miaka 23 hadi 35 wanatambiana kulelewa na wanawake wanaojiweza kiuchumi na umri mkubwa, huku wengine wakibaki wanajiuliza hizo 'bahati' wenzao wanazipata vipi.

Kwa kifupi kweli ni 'bahati' lakini ni 'bahati mbaya'. Kwanini ni bahati mbaya nimekuweka link ya Uzi wangu pendwa. Hapo naamini utajiona upo salama au lah!.

Nisingeamua, ningeacha kimemo kama Katibu

Wanawake ndani ya Mahusiano.

Kuwekwa ndani ya nyumba, kuaminiwa na mwanaume umzalie watoto, kuhudumiwa kwa kadri ya uwezo wa mwanaume wako ni dhamana kubwa ya mwanaume dhidi yako.

Ni kweli inawezekana umeolewa kwasababu kadha wa kadha ikiwemo unafuu wa maisha, kulazimishwa ndoa na sio hisia nzito za mapenzi juu ya mmeo lakini heshimu hio dhamana alioibeba kwajili yako.

Unaheshimu vipi. Ni kwa funga milango au mianya yote inayoweza kukuonesha mapungufu ya mtu wako. Kuna kina Z wengi sana katika jamii ambao malengo ya hua ni kupiga na kuondoka na hakika show zao ni kuntu lakini je mwisho wa siku Z wako ataleta ugali mezani!?

Jibu ni Hapana, basi jaribu kadri ya uwezo wako kumuheshimu anaeleta huo ugali mezani.

Toka naanza simulizi mpaka namaliza nimekuonesha jinsi mchango wa kuwa na kitu cha ziada mbali na sex kwa mtu wako kunavyoweza kugeuza akili yake na kuteka hisia zake za kimapenzi. Basi ichukue hio. Nayo ni silaha makini.

Kwa Wababa, wakuu wa kaya.

Nadhani kupitia stori tumeona namna Recho mke wa mwanaume mwenzetu alivoshawishika kutoka nje ya ndoa yake. Upweke!!

Wapo wanaume ambao kutokana na stori wameanza kuhisi wake zao bia shaka wanatoka nje. Hapana wapo wanawake wenye upendo wa dhati na hofu ya Mungu, hao wanaweza kutetea heshima yako na ukabaki mshindi daima.

Lakini pamoja na geti lako kubwa na uzio uliozungushia kwako hio bado haitoshi mke wako anaweza kuliwa ndani hapo hapo kwako.

Mtu mmoja katika 'comments' aliuliza "hivi na huyu wangu( akimaanisha mke wake) analiwa...mbona haioneshi hata dalili".

Jibu la swali lake ni 'uwezekano upo'. Hata huyo mlinzi uliyemuweka getini akulindie mji anaweza kuwa wa kwanza kuwa mwizi wa mkeo. Hapa namaanisha, mwanamke kuchepuka anaamua muda wowote mahali popote.

Basi nini tufanye.

Nashauri tuhimize familia zetu (watoto pamoja na mama yako) kuhudhuria ibada pamoja na mafundisho ya kidini kwa Imani zetu.

Hii Inasaidia kujenga hofu ya Mungu ndani mtu, Hali itakayomfanya kuhisi hatia dhidi ya mola wale pale anapotaka au kwisha kuteleleza dhambi .

Pili, hizi ni zama za ukweli na uwazi.
Ongea na mwanamke wako kuhusu athari za kutoka nje ya Ndoa na msimamo wako ni upi likijitokeza hilo. Kuwa muwazi kwa kumuelimisha mtu wako.

Nilisema ndani ya kisa mwanamke kaumbwa kama msaidizi kwa mwanaume yaani mfuwasi hivyo zungumza kiume pale unapokuwa una address swala nyeti na zito kama hio. Utaeleweka vizuri sana.

Mwisho, Acha kuchunguza simu ya mkeo mara kwa mara na badala yake focus zaidi kwenye kumstaajabisha kwa zawadi na show safii na kufurahia penzi. Isipokuwa ichunguze mara chache na kwa ambush.

Vilevile weka utaratibu wa kucheck afya mara kwa mara hasa unapokua umetoka safari. Nakukumbusha Recho alitoa mimba kipindi mkuu wa kaya yupo nje masomoni.

Lakini hakikisha kipindi cha joto cha mkeo ndani ya mwezi unakuwa karibu. Hii itapunguza zile sababu za kimazingira zinazoweza kuwawezesha kina Z wakapita na gap.

Kwa maoni na ushauri, PM wakati wowote.

Bonus Episode marks the End.
 
Back
Top Bottom