Hivi ndivyo tunavocheat, palipo na viatu vya muwewe kuna ndala zangu

Daah mkuu wewe unaweza kuandika kitu ambacho mimi siwezi. Story yako haina tofauti sana na ya kwangu hasa suala la kuzidiana umri. Nilikutana na huyu mwanamke nikiwa chuo yeye akiwa mfanyakazi ameniacha miaka 9 ila hayo mapenzi tulikua kama watoto. Daah kiukweli umenikumbusha mengi sana na sasa hivi hatupo tena huko japo yeye bado haja move ila kwa ubishi na hasira tunaforce tutoke huko.

Hawa watu wanajua ku encourage, wanajua kupet, wanajua mwanaume unataka nini na mwisho wa siku unapewa penzi zito kilo 150. Kila unachoelezea nilikua napata flashback miaka kadhaa nyuma mambo yalivyokuaga.
 
Hujasema ilikuwaje mume wa Recho akagundua kitumbua chake kuna muhuni alikikoboa
Mkuu Wagumu Tunadumu ni kweli sijasema kwasababu nilishakubali kuachana na Recho hivyo sikuona haja ya kujua ilikuwaje. EP nitayoleta huenda itajaribu kuelezea nadharia kadhaa kuhusu Recho kukamatwa na mumewe.
 
kaka Southern Highland andika kaka. Si lazima usifiwe ndio ujue unaweza Hapana. Tupe uzoefu wako kaka. Karibu sana.
 
Una kumbukumbu aseee,Ata mm niliusoma ilikuwa first love nn mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…