Hivi ndivyo tunavocheat, palipo na viatu vya muwewe kuna ndala zangu

Hivi ndivyo tunavocheat, palipo na viatu vya muwewe kuna ndala zangu

Hovering hongera kwa kazi nzuri...

Nimefurahi zaidi sehemu moja.....

Ety namba yako nimeiona nimekuambia ntakutumia hiyo hela

Hunisikii ntakutumia hiyo hela.... Nimechoka sana hapa

Blood Ibn Unuq njoo huku najua unazidi kuua 🍺😝
Kaka ahsante sana. Karibu sana.
Haya mambo pasipo kufungua hizi code ni ngumu sana kujua.
 
  • Distance relationship
  • Vijana kulelewa na Mishangazi
  • Madem kuwa na kitu cha ziada zaidi ya Sex kwenye mahusiano
  • Usaliti
  • Uongo
  • Matumizi ya Kinga wakati wa Kujaamiana
  • Matumizi Usiyoyajua ya Teknolojia e.g WhatsApp staus
Wengine wataendelea😎
Mkuu umenifatilia nukta kwa nukta. Ahsante sana. Karibu sana.
 
Salaam wadau, EPISODE 10A

Imani yangu tumekua na wakati mwema na mzuri tangu tulipo achana juzi. Tumshukuru Mungu.
Basi karibu ufungue box na Episode Moja kuelekea mwisho wa kisa changu na Recho.

Tuendelee;

Nguvu ya dula chini ya shinikizo la ubwege wa mapenzi Z natoa miguu yangu mahali penye usalama zaidi kwangu yani home nakuelekea kwa Recho. Pamoja na kutothibishiwa usalama wangu ama niseme wetu nikawasili getini.

Baada ya kumtaarifu Recho kuwa nipo getini alifika na kunifungulia. "Z umeshindwa kabisa kuvumilia ?". Aliniuliza Recho, Mimi " Recho sielewi ni nini lakini inaniwia vigumu sana kukubali haya maisha". Nikaendelea " nimekumiss sana Mwanamke wangu". Recho " sasa unatakaje na unajua kabisa huyu haeleweki kama nilivokwambia". Mimi " kwanza nina hali mbaya sana hapa...dula haelewi kabisa".

Recho alishusha mkono wake usawa wa suruali yangu ya jinsi kisha akashika pindo la zipu kujiridhisha kama yasemwayo ni kweli.
Kwakweli nilikua na hali mbaya. Recho kwa sauti ya chini na taratibu kana kwamba amelewa " Jamani babaa, mbona amekasirika hivi, haya nisubiri hapa hapa... hatuingii ndani".

Katika hali ile ya uchu wa zinaa kama ndio ingekua arobaini zangu zimetimia hakika sikuwa na bahati. Tena ningenaswa kama kuku bandani. Recho alizima taa za nje na kutoka nje akiwa na kipande cha kikoi.

Aliponifikia sikuwa na sekunde za kupoteza haraka sana kamata kiuno na kuanza kumla mate. Hatua chache kidogo kutoka ngazi za kupanda kivaranda nilishaanza kumpunguza nguo. Recho " jamani jamani Z taratibu basi...hapa chini hapana, tupande kwenye kivaranda hapo". Sikuona sababu ya poteza nishati kujibu badala yake nikatekeleza ushairi wake.

Hapa sasa hakuna cha 'una condom' au lah' ni kukimbiza farasi tu. Usalama wetu ulikuwa chini ya egesho la lock ya komeo la geti pekee. Nilikua kama mnyama mwenye kiu ya maji na kuona chemchem. Sikujali mimi ni swala na nipo eneo la Simba Hapana. Nilijari kukata kiu pekee.

Nikiri ujinga hapa, kweli show za kupanga tukutane tarehe fulani saa fulan, mahali fulani zinakuwa na utofauti na hizi za ku 'ambush'. Huu ni ujinga nimekiri ipo hivo ila haimaanishi mkeo umpige ambush barazani.

Tuendelee, niliunga viwili palepale bila kupoa. Na baada ya hapo ndio tukakumbuka kuna mtu alikua anatafuta usafiri urejee nyumbani kupumzika na mkewe. Chap Recho akajistiri na kile kipande cha kikoi na kuwai ndani huku anakimbia "Mungu wangu simu nimeacha ndani".

Kwangu hali ilikua shwari, naendelea kufuta kijasho baada ya fatiki ndogo ila pevu.

Recho alirejea pale akiwa anaongea na simu, bila shaka ni mumewe. Alipokata simu nikamuuliza kwa shauku "Vipi anakuja?". Recho "Hapana, kasema kesho". Akaendelea "Ila Z utanisababishia matatizo...kumbe alipiga mara nne!!!". Mimi " Nilijua tu hawezi pata usafiri mida hii..achana na hayo, uzuri haji! ". Recho "Nmh! yani wewe kwahio umefurahiii! Haya nambie ume enjoy". Mimi huku uso wangu umechanua kwa tabasam " Hakika, tena hii ya leo nimependa".

Niseme tu arobaini zangu zilikua hazijatimia au tuseme mwenyeziMungu alipanga nivuke hio hatua nijifunze kitu na leo nisimulie hivi.

Usiku ule tulihamishia mchezo uwanja wa nyumbani baada ya simu kuthibitisha jamaa harudi.
Hapa nakukumbusha kitu.

Nilikwambia nyuma kwamba mwanamke akishakuvulia nguo kwa ridhaa au kuridhia automatic amekuweka moyoni. Basi nasisitiza amini tayari amekupa funguo ya chumba katika maisha yake, kazi inabaki kwako kutumia funguo yako kuforce mambo.

Recho alinithibitishia kuwa anapewa kila kitu na mumewe isipokuwa upweke ndio uliokua unamtesa. Sasa mumewe karudi, upweke hakuna tena lakini bado kwa mara nyingine na mlala.

Tuendelee.

Majira ya saa tisa usiku baada ya cc za uji kupungua kama sio kuisha ndio akili zangu Z zinanirudia. "Mungu wangu hivi ningekutwa mimi jana ingekuaje"..."Hapana saa kumi na moja hapa sipo". Nilijiwazia na kujionea huruma mwenyewe.

Sikupata usingizi kabisa na ilipofika saa 10 usiku nikamuamsha Recho. "Ei nataka niondoke". Recho " Heeh! Z usiku wote huu uende wapi, kwanza ni saa ngapi". Mimi "saa 10!". Recho " Hapana angalau saa 11... alaf hujanambia huko ulipo ni kazi gani unafanya".

Baada ya lile swali tukaanza maongeza yenye tija kidogo na muda ukasogea mpaka kumi na moja. Ilipofika nikajiandaa na kiondoka.

Katika harakati za kuondoka kwa Recho nilisahau kofia. Muda kidogo akanipigia. Recho huku alicheka "Babaa yani wewe ni mwizi unaye ogopa kifo...em ijia cap yako isinisababishie majanga mimi". Nikairudia na taratibu kufata njia za panya kuelekea stand nisije kutana na family members nikose cha kujitetea.

Unaweza ukawa unajiuliza ndugu msomaji ni kwanini nilikua bwege kiasi hiko mpaka kurisk maisha yangu vile . Jibu ni rahisi, sikua na mwanamke mwingine mbali na Recho. Tamaa ziligeuka hisia halali za mapenzi, upofu ukanijaa, nikasahau mali ni ya wizi na kujiona nina hisa 100%. Kitu ambacho si ukweli.

Nilirejea salama kazini nikiwa mcheshi na mchangamfu. Hapo umenielewa bila shaka. Mawasiliano na Recho yaliendelea kwa mtindo uleule. Baada ya mwezi kukatika toka jamaa arejee taratibu mambo yalianza kubadilika.
Sawa.
 
Interesting story!

Hakika mapenzi yakikuingia vyema juu ya mtu fulani ni zaidi ya addiction, utapoteza hadi control mentally unakuwa boya kabisa. Hongera mkuu kama umeweza kutoa hisia zako kwa Racho, zingatia familia yako sasa Hovering
Shukrani sana mkuu kwa kuvutiwa na kuielewa story. Ushauri wako ndio maisha yangu kwasasa. Ahsante sana, karibu sana.
 
Back
Top Bottom