Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutajirika Kwa Kuanza Na Shilingi Elfu Moja

hivi hyo UTT ukitaka hela yako haraka watakurudishia?au mpaka uuze vipande maana wanunuzi wa manati
 
.."Kama kwa miaka hii 5 utasoma vitabu 500 na wakati huo unaendelea kukuza mtaji, mambo yataanz akufunguka kabla hata hujafika miaka hiyo mitano".

Cc Money Stunna
 
Hivi unajua kitu kinaitwa "time value of money?" Hiyo TZS 1,000 yako ya sasa baada ya miaka 2 tu hata pipi huwezi kununua. Hivyo unaweza kuweka hizo 1,000 moja zako na baada ya miaka 30 zikawa na nguvu ya sawa na 50,000 ya sasa.
 
Hivi unajua kitu kinaitwa "time value of money?" Hiyo TZS 1,000 yako ya sasa baada ya miaka 2 tu hata pipi huwezi kununua. Hivyo unaweza kuweka hizo 1,000 moja zako na baada ya miaka 30 zikawa na nguvu ya sawa na 50,000 ya sasa.
Sijaelewa unachopinga kwasababu hata jamaa anaamini ulichoandika soma vizuli.
 
Kwa mwakala 360,000

Kwa miaka mitano inamaana n 5*360000=??

Sijaelewa happ ulipo sema kwa miaka mitano n 2+
 
😀😀😀😀huu uzi umefufuka tena
 
😀😀😀😀huu uzi umefufuka tena
 
tatizo watu wanataka mtoa mada aje na mambo ya kuweka hela unapata mara tatu.
Ideal ni nzuri sana.
 
Miaka mitano mingi sana, kwanini isingekua angalau miezi mitatu,sita au mwaka. Miaka mitano mtu anakufa ,tunamzika na tunamsahau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maana nyingine haumshauri mtu kuhusu uwekezaji, mm kwa kuongezeka juu ya ushauri wako mzuri, hizo hela ulizopata kwa mwezi tafuta sehemu zifanye kazi nazo pia zikuingizie 1000 kila siku au hata 500 na sio kumshauri mtu akaiweke hela iwafaidishe hao Company. Huwezi kupata hela ukapeleka bank, ikafanye nini na kwanini kwanza, Eti unataka utajiri, utajiri ni uwekezaji na sio kuweka pesa kiasi hiko.

NB: ushauri wako wauchukue lakini wasikubali kupeleka hela wanayoipata kwenye taasisi hiyo au hata bank mimi siwashauri, hakuna tajiri au mtu atakaye pata utajiri kwa utaratibu huo, haya kwa mfano hiyo hela unayoiweka mda huo, baadae unafanyia nini kama sio kubweteka kama mwanzo tu. USHAURI WANGU WEKEZA USIWEKE HELA BANK, hapo utapata mala 100 ya hela hiyo

VUTA PICHA
Kama una mtaji ambao utakuingizia 1000 kila siku, kwa wastani itakuwa biashara ya mtaji wa 50,000, ambayo kwa mwezi unapata 30,000 baada ya miezi 2 ukiwa unaweka hiyo buku una 60,000 ambayo tayari imezidi mtaji uliozizalisha hizo 60,000, kwa hapo ukianzisha biashara nyingine kwa siku unaanza kuweka 2000 na sio 1000 kama mwanzo, na kwa mwezi unakuwa na 60,000 na yenyewe pia ukifanya hivo kwa mwezi ni 90,000. Ukiwa unafanya hivo ndio inaitwa kuwekeza, na sio kumpeleka taasisi wa nini kama sio kumtajilisha na uzembe wa mawazo #kumradhi
 
Dec nitakuewa na million nikiweka 3,000/= daily.
🙂
 
Noted ... mimi nimekuelewa vyema sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makirita Amani nimeona andiko lako leo ila nahis sijachelewa
 


Huyu ndo alinifanya nikaelewa maana ya kuweka akiba na kuiwekeza..re-invest..yuko poa sana sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…