Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
Wazingatie katika kuijenga Palestina, sio kuiangamiza Israel
Wakubaliane na haki ya uwepo wa Israeli.
Wafanye amani na majirani zao.
Wafanya diplomacy na Saudi Arabia na UAE baada ya kuhakikishia usalama dhidi ya itikadi za hamas
Washirikiane na Israel na USA katika kukomesha Hamas
Wapige marufuku elimu za itikadi kali za chuki dhidi ya madhehebu ma jamii nyingibe katika misikiti na shule
Tofauti na hayo wanajilisha upepo, kutumika kama silaha na ngao ya itikadi kali na maafa juu yao hayatakoma kamwe.