Hivi ndivyo ushabiki wa mpira unavyoweza kuwageuza watu wendawazimu

Kuna watu walikusanyika kweli kabisa kwa ajili ya hili tukio! Haipaswi kuwa hivi kabisa katika jamii ya watu waliostaarabika na wanaojielewa.

View attachment 3065440
Inawezekana mwanamke hampendi mumewe hivyo akamshawishi amweke bondi kwa kutumia ushabiki wa mpira na mume akaingia kichwakichwa bila kujua itakuwa ni talaka.
 
Huyo mpumbavu alimdhalilisha sana mke wake acha wenzie waendeleze udhalilishaji si kataka mwenyewe.!!
Huwezi kumfananisha mkeo na timu yako uanyoshabikia.!!
Yani Simba ina umuhimu kuliko mkewe??
Huyo Ally akomae apewe mke amsichekee!!
 
Huyo mpumbavu alimdhalilisha sana mke wake acha wenzie waendeleze udhalilishaji si kataka mwenyewe.!!
Huwezi kumfananisha mkeo na timu yako uanyoshabikia.!!
Yani Simba ina umuhimu kuliko mkewe??
Huyo Ally akomae apewe mke amsichekee!!
Akimchukua mke huo nao utakuwa ni utumwa kwani kukabidhiana binaadamu bila ridhaa ya mhusika ni kumkamata kwa nguvu ili atumikishwe, yaani awe mtumwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…