Hivi ndivyo ushabiki wa mpira unavyoweza kuwageuza watu wendawazimu

Hivi ndivyo ushabiki wa mpira unavyoweza kuwageuza watu wendawazimu

Unashangaa hayo, ila hushangai ccm kushinda kwenye kila uchaguzi, huku ikiwa hata haileweki ipo kwa ajili ya wananchi, au ipo kwa ajili ya matumbo ya watu wachache tu kwenye jamii husika!
Aaahaaa
 
Huwa ni utani tu. Ilisha wahi tokea mtu akamuweka Mkewe bond na kweli mke kachukuliwa?
Mke au mpenzi wako akikuweka bond uolewe kama utani tu endapo timu yake itafungwa utachukulia poa?
 
Unashangaa hayo, ila hushangai ccm kushinda kwenye kila uchaguzi, huku ikiwa hata haileweki ipo kwa ajili ya wananchi, au ipo kwa ajili ya matumbo ya watu wachache tu kwenye jamii husika!
Sifurahishwi na ccm, ila Wacha kujustify ujinga kwa upuuzi.
 
Huku masudi anataka sijui billion, huku mke anataka kuchukuliwa, jamaa nae akae atulie, Kuna kavideo niliona amembeba juu mchina wa watu adi nikacheka
 
Unashangaa hayo, ila hushangai ccm kushinda kwenye kila uchaguzi, huku ikiwa hata haileweki ipo kwa ajili ya wananchi, au ipo kwa ajili ya matumbo ya watu wachache tu kwenye jamii husika!
Hawa watu wa mipira ni watu wa ajabu sana
 
Ushabiki wa mpira bongo una chembe chembe za kuwa hamnazo...
 
Akimchukua mke huo nao utakuwa ni utumwa kwani kukabidhiana binaadamu bila ridhaa ya mhusika ni kumkamata kwa nguvu ili atumikishwe, yaani awe mtumwa.
Umeona utumwa kwenye kukabidhiwa?
Mbona hukuona udhalilishaji alivyomuweka bond??
Mwijaku mpumbavu sana, na mkewe anamchekea nimeona kapost eti mmewe yupo kazini.!! Naye bure kabisaaa.!!
 
Back
Top Bottom