Hivi ndivyo Viwango vya Sauti vinavyokubalika na "NEMC"

Hivi ndivyo Viwango vya Sauti vinavyokubalika na "NEMC"

Ryan Holiday

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2018
Posts
2,026
Reaction score
4,450
Katazo hili sio kwenye maeneo ya mabaa pekee yake bali na maeneo mengine ya Makazi, Viwanda, kwa taarifa zaidi soma 👇:-

1. Hospitali, Shule, Vyuo, Maktaba na Nyumba za Wazee Decibel (dBA 35)
2. Jengo la Makazi ni Decibel (dBA 35)
3. Viwanda Vidogo ni Decibel (dBA 50)
4. Eneo la Viwanda ni Decibel (dBA 65)
5. Makazi Mchanganyiko, Biashara na Burudani ni Decibel (dBA 45)

IMG_20230505_191625_528.jpg


Chanzo: NEMC, ECOKATUNI
 
Mziki ni non-living objects ambao unakuwa controlled na Living object.

Chanzo sio mziki bali chanzo ni huyo anaye-operate huo mziki.

Ndio maana kuna setup ya kuongeza sauti au kupunguza sauti kutokana na viwango (standard) inayoendana na mazingira ama mhusika mkuu.
 
Sidhani kama ni sahihi!
Viwanda 65dba?
Makazi 35dba?

Hiyo 58dba tu kuna watu mkikaa mita 3 apart hawasikii!

Lengo ni nini? Uchafuzi wa mazingira au kulinda watumiaji?
 

Hiyo hapo
Safi sana. Inabidi bar ziwe sound proof kabisa. Na kama ni za wazi inabidi ziwe kimya kama chumba cha mtihani.


Na nemc waanze kukamata majirani wanaopiga kelele hasa mida la kula mzigo na kunyanduana. Wanakuwa na makelele mengi na milio mingi na pwapwapwapwa za nguvu sana yaani kelele nyingi mno sisi tunashindwa kulala.
 
Back
Top Bottom