Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
🤣Bibi yangu Muhemi atapimaje hizo DBA za kiwango Cha sauti ya muziki ? Kwa anaezielewa Atoe mfano halisi
Unaweza kuona hata Dr. Musukuma hajui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣Bibi yangu Muhemi atapimaje hizo DBA za kiwango Cha sauti ya muziki ? Kwa anaezielewa Atoe mfano halisi
Kuruhusu watu kufanya yao bila kuingiliana na wenye stareheSidhani kama ni sahihi!
Viwanda 65dba?
Makazi 35dba?
Hiyo 58dba tu kuna watu mkikaa mita 3 apart hawasikii!
Lengo ni nini? Uchafuzi wa mazingira au kulinda watumiaji?
Makanisani na misikitini kiwango cha sauti ni decibel ngapi?Katazo hili sio kwenye maeneo ya mabaa pekee yake bali na maeneo mengine ya Makazi, Viwanda, kwa taarifa zaidi soma 👇:-
1. Hospitali, Shule, Vyuo, Maktaba na Nyumba za Wazee Decibel (dBA 35)
2. Jengo la Makazi ni Decibel (dBA 35)
3. Viwanda Vidogo ni Decibel (dBA 50)
4. Eneo la Viwanda ni Decibel (dBA 65)
5. Makazi Mchanganyiko, Biashara na Burudani ni Decibel (dBA 45)
View attachment 2614432
Chanzo: NEMC, ECOKATUNI
Hapa kijijini bitaraguru hizo decibel nazipimaje?
Wameanza kwanza na kwenye Mabaa, majengo ya shule, viwanda na Makazi ya Watu.Makanisani na misikitini kiwango cha sauti ni decibel ngapi?
Hizo ni mbinu za kutafuta pesa hawana lolote, wanataka watu wakienda club au bar wasisikilize musicWameanza na Kwanza na kwenye Mabaa, majengo ya shule, viwanda na Makazi ya Watu.
Utapata taarifa kamili baada ya mkutano unaokuja kati ya NEMC VS VIONGOZI WA DINI.
Mkuu ghetto lako lipo uswahilini ni nini😁?
Sawa Sir.Hizo ni mbinu za kutafuta pesa hawana lolote, wanataka watu wakienda club au bar wasisikilize music
Hapana.Mkuu ghetto lako lipo uswahilini ni nini😁?
Hizo Kelele zimetoka wap😂Hapana.
Bt sauti ni kawaida sana nimeweka labda kwa kuwa niko karibu.
Sijajua wao wanapima wakiwa wamekaa wapi kujua hii ni sawa au si sawa.
Hizo Kelele unapima ukiwa kwako ndani sio hapo msikitini ndiyo utajua kama wewe ni muathirika wa hizo kelele ama sio muathirika wa hizo kelele kupitia kinasa sauti.Kuna msikiti hapa ile sijui Ni DB 200 na ngapi
Ww average umepata ngapi?😅😅Hizo Kelele zimetoka wap😂
You must be fool, yaan kelele za BAR unahitaji kuzipima? Bar iko Km 3 na bado unasikia kelele za music, je waliokaribu na hiyo Bar watakuwa kwenye hali gani?Naona jinsi watu hawajui kupima dba sababu dba ina husishwa na umbali ukipima dba ukiwa mita 2 toka spika ilipo na ukapima mita 20 toka spika ilipo lazima majibu yatofautiane sasa ni umbali gani unahitajika ili kupata kipimo sahihi? Nadhani mnajua hata kama umefungulia mziki sauti ya chini akiingia umo ndani ambapo wapo wanywaji lazima atasema sauti ipo juu sababu yupo karibu na chanzo.
Inawezekana hata hizo baa walizofungia walienda kuppima dba humohumo baa badala ya kwenda kupima kwenye makazi ya watu ili ijulikane hiyo sauti inafika kwenye hayo makaazi ya watu? Ambao wanakereka na hizo kelele badala yakwenda kupima huko baa sehemu ambayo waliopo hawakereki na hizo kelele.
Hiyo dba 35 hata mtu akikoroma au wakilana inazidi hapo hata chura akifoka inazidi .
Pia hawajatoa elimu juu ya hizo dba maana wangekosolewa na kuonekana hawana akili .
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Naona faini ndo zimegeukiwa kuwa chanzo cha mapato baada ya tozo kupigiwa kelele.Hapo ulipo kuna chanzo cha Kelele?
Kama kuna chanzo cha Kelele, nenda kwenye Playstore ya simu yako, kisha-download "Sound Meter App".
Baada ya kui-download, ifanyie installation, then ifungue kwa ajali ya kunasa mawimbi ya sauti kutoka kwenye chanzo cha Kelele. Kama umepata majibu.
Jaribu kulinganisha dBA ulizozipata na za NEMC? je, zipo chini ya kiwango ama juu ya kiwango. Kama zipo juu ya kiwango ripoti NEMC kwa kuwa muathirika wa Uchafuzi wa Kelele.
Naona faini ndo zimegeukiwa kuwa chanzo cha mapato baada ya tozo kupigiwa kelele.
Kumbe 50 dba ni sauti ndogo sanaView attachment 2614762
Wamenifanya hadi ni download upya app. Hapa ni sebuleni Nipo nje ya mji peke yangu. Ni vyura ndio wana piga kelele hapo. No tv Au radio.
Kama Earphones ina kiwango cha sauti ambacho mtu ukizidi kuongeza "volume sound" kwenye simu yako inakwambia "Loud sound can damage your inner ear."You must be fool, yaan kelele za BAR unahitaji kuzipima? Bar iko Km 3 na bado unasikia kelele za music, je waliokaribu na hiyo Bar watakuwa kwenye hali gani?
Tuache uswahili wakati mwingine, huko Ulaya unaweza tembea usisikie hizo kelele mwaka mzima, ukitaka kelele zama indoor huko.