Hivi ndivyo Viwango vya Sauti vinavyokubalika na "NEMC"

Hivi ndivyo Viwango vya Sauti vinavyokubalika na "NEMC"

Kama Earphones ina kiwango cha sauti ambacho mtu ukizidi kuongeza "volume sound" kwenye simu yako inakwambia "Loud sound can damage your inner ear."

Sijui wanaona ajabu gani kwa NEMC kutoa katazo la kelele kwenye Mabaa na kumbi za starehe.
Yule Mzee anazeeka vibaya!

Hana tofauti na wale wa Mhe. Mpina waliokuwa wakipima samaki waliopikwa kwa rula!
 
Katazo hili sio kwenye maeneo ya mabaa pekee yake bali na maeneo mengine ya Makazi, Viwanda, kwa taarifa zaidi soma 👇:-

1. Hospitali, Shule, Vyuo, Maktaba na Nyumba za Wazee Decibel (dBA 35)
2. Jengo la Makazi ni Decibel (dBA 35)
3. Viwanda Vidogo ni Decibel (dBA 50)
4. Eneo la Viwanda ni Decibel (dBA 65)
5. Makazi Mchanganyiko, Biashara na Burudani ni Decibel (dBA 45)

View attachment 2614432

Chanzo: NEMC, ECOKATUNI
hizi taratibu zinafuatwa?
 
Back
Top Bottom