Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 2,026
- 4,450
Bibi yako lazima awe na kipima Sauti kitakacho nasa mawimbi ya kelele.Bibi yangu Muhemi atapimaje hizo DBA za kiwango Cha sauti ya muziki ? Kwa anaezielewa Atoe mfano halisi
Safi sana mkuu, Ahsante kwa kuturahishia kazi, kwa maana wengine masomo ya sayansi yalitutupa mkono.
Utapimiwa kama unavyopimiwa ukizidi spidi kwenye gari yakoBibi yangu Muhemi atapimaje hizo DBA za kiwango Cha sauti ya muziki ? Kwa anaezielewa Atoe mfano halisi
Je kuna app ya simu ya kupima kelele? Wataalam tupeni majibu
Safi sana. Inabidi bar ziwe sound proof kabisa. Na kama ni za wazi inabidi ziwe kimya kama chumba cha mtihani.Sound Meter - Apps on Google Play
Measure the environmental noise by tidy sound meterplay.google.com
Hiyo hapo
Kwa Kweli sipendi makele yoyote ya miziki napenda mziki ila wa taratibu snaa.
Nipo grocery hapa naona kitu inasoma 98 hado 102Sound Meter - Apps on Google Play
Measure the environmental noise by tidy sound meterplay.google.com
Hiyo hapo
Nipo grocery hapa naona kitu inasoma 98 hado 102