Hakuna msimu umewaumbua wachambuzi wa Tanzania kama msimu huu;
Knock Out Stade;
"Yanga habari yao imeishia hapo. Hawawezi kumtoa Club Africain aliyeshinda goli (7) kwake. Nabi hawezi mechi za kimataifa."
ยฉ๏ธ Wilson Oruma
Full ๐ก Africain ๐น๐ณ 0 - 1 ๐น๐ฟ Yanga
Group Stage
"TP Mazembe ๐จ๐ฉ ni Giant wa Africa, Yanga kutoboa dhidi ya US Monastir na TP Mazembe ni ngumu. Tuwaombee"
ยฉ๏ธ Jemedari Said - Efm
1. ๐น๐ฟ Young Africans โ๏ธ
2. ๐น๐ท US Monastir โ๏ธ
3. ๐ฒ๐ฑ Real Bamako
4. ๐จ๐ฉ TP Mazembe
Quarter Final
"Sioni Yanga akishinda ugenini dhidi ya Rivers Utd. Rivers wameifunga Wydad Casablanca pale kwao, tangu waanze kushiriki mashindano ya CAF hawajapoteza nyumbani. Yanga wakitoka hatua hii hatuwadai"
ยฉ๏ธ Geof Leah Efm
Full ๐ก Rivers ๐ณ๐ฌ 0 - 2 ๐น๐ฟ Yanga
Semi Final
"Mimi naijua ligi ya Afrika kusini, Wale Marumo Gallants ๐ฟ๐ฆ wana kasi na wanafunga sana. Yanga wanaweza kufungwa magoli 3 na Marumi, for me sioni Yanga wakienda fainali"
ยฉ๏ธ Geof Leah TVE
"Marumo Gallants ukiwafunga nne kwao wanakufunga nne, Yanga ana mechi ngumu sitashangaa akitolewa. Hawajapoteza mechi yoyote nyumbani wameshinda mechi zote kuanzia hatua za mwanzo"
ยฉ๏ธ Master Tindwa - Clouds FM
Fainali ยป Wameanza tena
"Yanga wameingia fainali ndio, sidhani kama wataweza kutwaa Ubingwa wa CAFCC mbele ya USM Alger."
ยฉ๏ธ Geof Leah
NB: Kitu ambacho Yanga wanapaswa kujivunia ni kuwa, hawa jamaa kila wanalosema linakuwa kinyume ๐
Kwa hiyo hata Fainali huenda ikawa hivyo.
(ยฉ๏ธ Tom Cruz)