Hivi ndivyo waandishi wachambuzi wa Michezo wasioitakia mema Yanga walivyoumbuka

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
3,799
Reaction score
10,196
Hakuna msimu umewaumbua wachambuzi wa Tanzania kama msimu huu;

Knock Out Stade;

"Yanga habari yao imeishia hapo. Hawawezi kumtoa Club Africain aliyeshinda goli (7) kwake. Nabi hawezi mechi za kimataifa."

©️ Wilson Oruma

Full 🕡 Africain 🇹🇳 0 - 1 🇹🇿 Yanga

Group Stage

"TP Mazembe 🇨🇩 ni Giant wa Africa, Yanga kutoboa dhidi ya US Monastir na TP Mazembe ni ngumu. Tuwaombee"

©️ Jemedari Said - Efm

1. 🇹🇿 Young Africans ☑️
2. 🇹🇷 US Monastir ☑️
3. 🇲🇱 Real Bamako
4. 🇨🇩 TP Mazembe

Quarter Final

"Sioni Yanga akishinda ugenini dhidi ya Rivers Utd. Rivers wameifunga Wydad Casablanca pale kwao, tangu waanze kushiriki mashindano ya CAF hawajapoteza nyumbani. Yanga wakitoka hatua hii hatuwadai"

©️ Geof Leah Efm

Full 🕡 Rivers 🇳🇬 0 - 2 🇹🇿 Yanga

Semi Final

"Mimi naijua ligi ya Afrika kusini, Wale Marumo Gallants 🇿🇦 wana kasi na wanafunga sana. Yanga wanaweza kufungwa magoli 3 na Marumi, for me sioni Yanga wakienda fainali"

©️ Geof Leah TVE

"Marumo Gallants ukiwafunga nne kwao wanakufunga nne, Yanga ana mechi ngumu sitashangaa akitolewa. Hawajapoteza mechi yoyote nyumbani wameshinda mechi zote kuanzia hatua za mwanzo"

©️ Master Tindwa - Clouds FM

Fainali » Wameanza tena

"Yanga wameingia fainali ndio, sidhani kama wataweza kutwaa Ubingwa wa CAFCC mbele ya USM Alger."

©️ Geof Leah

NB: Kitu ambacho Yanga wanapaswa kujivunia ni kuwa, hawa jamaa kila wanalosema linakuwa kinyume 😆

Kwa hiyo hata Fainali huenda ikawa hivyo.
(©️ Tom Cruz)
 
Hakuna msimu umewaumbua wachambuzi wa Tanzania kama msimu huu ;

KNOCK OUT STAGE ;

"Yanga habari yao imeishia hapo. Hawawezi kumtoa Club Africain aliyeshinda goli (7) kwake. Nabi hawezi mechi za kimataifa"

©️ Wilson Oruma

Full 🕡 Africain 🇹🇳 0 - 1 🇹🇿 Yanga
.
.
GROUP STAGE !

"TP Mazembe 🇨🇩 ni Giant wa Africa, Yanga kutoboa dhidi ya US Monastir na TP Mazembe ni ngumu. Tuwaombee"

©️ Jemedari Said - Efm

1. 🇹🇿 Young Africans ☑️
2. 🇹🇷 US Monastir ☑️
3. 🇲🇱 Real Bamako
4. 🇨🇩 TP Mazembe
.
.
QUARTER FINAL !

"Sioni Yanga akishinda ugenini dhidi ya Rivers Utd. Rivers wameifunga Wydad Casablanca pale kwao, tangu waanze kushiriki mashindano ya CAF hawajapoteza nyumbani. Yanga wakitoka hatua hii hatuwadai"

©️ Geof Leah Efm

Full 🕡 Rivers 🇳🇬 0 - 2 🇹🇿 Yanga
.
.
SEMI FINAL

"Mimi naijua ligi ya Afrika kusini, Wale Marumo Gallants 🇿🇦 wana kasi na wanafunga sana. Yanga wanaweza kufungwa magoli 3 na Marumi, for me sioni Yanga wakienda fainali"

©️ Geof Leah TVE

"Marumo Gallants ukiwafunga nne kwao wanakufunga nne, Yanga ana mechi ngumu sitashangaa akitolewa. Hawajapoteza mechi yoyote nyumbani wameshinda mechi zote kuanzia hatua za mwanzo"

©️ Master Tindwa - Clouds Fm
.
.
FAINALI » Wameanza tena !

"Yanga wameingia fainali ndio, sidhani kama wataweza kutwaa Ubingwa wa CAFCC mbele ya USM Alger"

©️ Geof Leah

NB ; Kitu ambacho Yanga wanapaswa kujivunia ni kuwa, hawa jamaa kila wanalosema linakuwa kinyume 😆

Kwa hiyo hata fainali huenda ikawa hivyo.
(©️ Tom Cruz)
Ila wanachonishangaza, hivi kuna aliyewahi kurudi na kufuta kauli zake?
 
Hatutaki wanafki yanga, mchambuzi anakua kama mtu anar beti au mganga kutabiri bila professionalism.
 
ila Simba ndio timu kubwa ya kwanza Kwa Kila kitu.

FAINAL CAF.
Kuvaa JEZI, viatu.
Kupanda ndege.
Kucheza na VAR.
Bonanza Simba Day.
Mpigapicha.
Uwekezaji nk.

NAJIVUNIA SIMBA.
Natamani kusema POLE!
Hii pole ni kukushangaa kudhani kwamba; VAR, kupanda ngede, picha, jezi na viatu ni MAFANIKIO kwa club[emoji848]

Najaribu kufikiria uwezo wako kwenye masuala ya soka ukoje[emoji848][emoji848][emoji848]

OK! Hongereni
 
ila Simba ndio timu kubwa ya kwanza Kwa Kila kitu.

FAINAL CAF.
Kuvaa JEZI, viatu.
Kupanda ndege.
Kucheza na VAR.
Bonanza Simba Day.
Mpigapicha.
Uwekezaji nk.

NAJIVUNIA SIMBA.
Unavijua kwenye keyboard ila kimoyoyo roho inakuuma kishenzi..Yan huna raha hata we mwenyewe unajua unajikaza kisabuni kujivunia kitu kinachokutia aibu.
 
Umewasahau wale wachambuzi wanaoongozwa na popoma hapa site
 
ila Simba ndio timu kubwa ya kwanza Kwa Kila kitu.

FAINAL CAF.
Kuvaa JEZI, viatu.
Kupanda ndege.
Kucheza na VAR.
Bonanza Simba Day.
Mpigapicha.
Uwekezaji nk.

NAJIVUNIA SIMBA.
Mimi ni MWANANCHI!!

Ila we mwamba pamoja na kalpana huwa nawakubali sana[emoji1787][emoji1787]
 
ila Simba ndio timu kubwa ya kwanza Kwa Kila kitu.

FAINAL CAF.
Kuvaa JEZI, viatu.
Kupanda ndege.
Kucheza na VAR.
Bonanza Simba Day.
Mpigapicha.
Uwekezaji nk.

NAJIVUNIA SIMBA.
Na tukapewa na kombe la caf na medali juu za caf
 
Back
Top Bottom