Hakuna msimu umewaumbua wachambuzi wa Tanzania kama msimu huu;
Knock Out Stade;
"Yanga habari yao imeishia hapo. Hawawezi kumtoa Club Africain aliyeshinda goli (7) kwake. Nabi hawezi mechi za kimataifa."
©️ Wilson Oruma
Full 🕡 Africain 🇹🇳 0 - 1 🇹🇿 Yanga
Group Stage
"TP Mazembe 🇨🇩 ni Giant wa Africa, Yanga kutoboa dhidi ya US Monastir na TP Mazembe ni ngumu. Tuwaombee"
©️ Jemedari Said - Efm
1. 🇹🇿 Young Africans ☑️
2. 🇹🇷 US Monastir ☑️
3. 🇲🇱 Real Bamako
4. 🇨🇩 TP Mazembe
Quarter Final
"Sioni Yanga akishinda ugenini dhidi ya Rivers Utd. Rivers wameifunga Wydad Casablanca pale kwao, tangu waanze kushiriki mashindano ya CAF hawajapoteza nyumbani. Yanga wakitoka hatua hii hatuwadai"
©️ Geof Leah Efm
Full 🕡 Rivers 🇳🇬 0 - 2 🇹🇿 Yanga
Semi Final
"Mimi naijua ligi ya Afrika kusini, Wale Marumo Gallants 🇿🇦 wana kasi na wanafunga sana. Yanga wanaweza kufungwa magoli 3 na Marumi, for me sioni Yanga wakienda fainali"
©️ Geof Leah TVE
"Marumo Gallants ukiwafunga nne kwao wanakufunga nne, Yanga ana mechi ngumu sitashangaa akitolewa. Hawajapoteza mechi yoyote nyumbani wameshinda mechi zote kuanzia hatua za mwanzo"
©️ Master Tindwa - Clouds FM
Fainali » Wameanza tena
"Yanga wameingia fainali ndio, sidhani kama wataweza kutwaa Ubingwa wa CAFCC mbele ya USM Alger."
©️ Geof Leah
NB: Kitu ambacho Yanga wanapaswa kujivunia ni kuwa, hawa jamaa kila wanalosema linakuwa kinyume 😆
Kwa hiyo hata Fainali huenda ikawa hivyo.
(©️ Tom Cruz)