Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
"Kuwafirisi" = kuwafilisi.
"Uangalia" = huangalia.
"Mtafirisika" = mtafilisika.
Hata ukiwa na mada nzuri vipi, ukikosea-kosea kuandika unaikosesha ladha.
Tikitendee haki Kiswahili ni lugha tamu.
Tikitendee= Tukitendee"Kuwafirisi" = kuwafilisi.
"Uangalia" = huangalia.
"Mtafirisika" = mtafilisika.
Hata ukiwa na mada nzuri vipi, ukikosea-kosea kuandika unaikosesha ladha.
Tikitendee haki Kiswahili ni lugha tamu.
Tikitendee= Tukitendee
"Kuwafirisi" = kuwafilisi.
"Uangalia" = huangalia.
"Mtafirisika" = mtafilisika.
Hata ukiwa na mada nzuri vipi, ukikosea-kosea kuandika unaikosesha ladha.
Tikitendee haki Kiswahili ni lugha tamu.
Tikitendee= Tukitendee
Ahsante, lakini kumbuka kuna tofauti ya typo na kuandika isivyo na kuahribu lugha. Hiyo yangu ni typo tu na ntairekebisha.
Asante kwa kunirekebisha. Una lingine la kuongeza au kuchangia kwenye mada
Ahsante, lakini kumbuka kuna tofauti ya typo na kuandika isivyo na kuahribu lugha. Hiyo yangu ni typo tu na ntairekebisha.
Money Stunna, kumbe na wewe ni Mangi
Kaifanyie marekebisho post yako.
Tanzania kuna kila aina ya wizi. Hilo wala si geni na ndio moja ya sababu za kupanda bei za vitu.
Mfanya biashara anapopanga bei za kuuza huweka na hizo za kuibiwa.
Bongo bingo.
Mimi siyo mchaga japo watu wengi wanajua mi mchaga ata nilivyokuwa na miaka 4 niliwai potea ilikuwa Dar kupelekwa polis nikazungushwa kwa wachaga wote maeneo hayo hakina mushi, masawa, mosha etc wote wakasema hawanijui kwa bahati nzuri baadaye mama akaja kunitoa.
Kiswahili changu nikiongea ni cha kipekee na mvuto pia ni vile nimechanga ma lugha mengi hivo imesababisha kuwa cha tofauti na chako kiko kama cha mombasa.
Nikiongea kiswahili kama ni msichana lazima u fall in love vile natamka maneno kwa uzuri hadi raha.
Nikiendelea kuandika watu ( wenye roho ngumu ) wataponda ngoja nihishie hapa
na kwenye bar ndio kiboko. wakiuza crate nne tano mapema wanafanya replacement. maduka ya jumla yako jirani haraka tu wanaleta. usipogundia, mfanyakazi anakusanya nyingi kuliko mwenyewe, huku anakinga mshahara mwisho wa mwezi. kuna kitu najiuliza hii ni tabia ya watanzania au ulimwengu ndivyo ulivyo. kwa sababu kila ukiajiri mtu anakuangalia umejisahau wapi akupige. yaani kuwekeza mradi bongo ukasimama, inahitaji roho ya paka.
Mada=maada
kuahribu=kuharibu
typo=?
bibi unazidi kukiharibu zaidi kiswahili. Usikimbilie kusahihisha makosa ya mwenzako kabla hujajitathimini wewe kwanza.
Ahsante, lakini kumbuka kuna tofauti ya typo na kuandika isivyo na kuahribu lugha. Hiyo yangu ni typo tu na ntairekebisha.